Bado yote hayo yatakuwa mzigo kwa wananchi maskini tu maana huduma nyingi za lazima tunazohitaji, zinatolewa kwa gharama nafuu zaidi upande wa serikali kuliko pande nyingine.
Kama watu wanataka mabadiliko ya kweli, lazima waache kupuuza siasa na mikakati iwepo ya uhakika, na ipangwe na wazalendo wa kweli ili kukamata dola.
Kama kundi fulan(wahuni) wanaweza kujipanga na kuratibu mambo yao yakafanikiwa, vipi wazalendo wakiamua?
Tunataka shortcut, pamoja na miujiza ndo maana kila siku bado tunapiga mark time.