Katika familia yangu tuko watu 27 wa baba mmoja ila ni mimi pekee ninayetumia mitandao ya kijamii kuanzia FB, WhatsApp, Jamii Forums na kathalika, je kwenu mpo wangapi wa familia moja?
Katika familia yangu Tuko watu 27 wa baba mmoja ila ni mimi pekee ninayetumia mitandao ya kijamii kuanzia fb whatsap jamii f na kathalika je kwenu mpo wangapi wa familia moja