Mkoa mpya wa Chato washindikana, wadau wataka makao makuu ya mkoa yawe Nyakanazi, Wanachato wakataa wasema bora wabakie Geita

Kwahiyo ulitarajia aongee wazi wazi mpango wa kuifanya Chato kuwa mkoa wakati kila mmoja anafahamu haina sifa?! Tafakari: Baada ya kuwa rais tu, akahakikisha uwanja mkubwa wa ndege unajengwa! Ikajengwa hospitali ya rufaa ya kanda ya kanda ya Chato(yaani badala ya kujengwa Geita ikaenda kujengwa Chato)! Akahahakikisha TRA wanajenga jengo kubwa! NHC ikapeleka mradi wa nyumba! Ikajengwa bohari ya madawa! Kama haitoshi, wakaanzisha Mbuga ya Bugiri ambayo hata hivyo wanyama kama simba ikabidi watolewe kwingine na kupelekwa Chato, akaanza hadi mtindo wa kupokea wageni wa kitaifa kutokea Chato!Yote hayo yalifanyika ndani ya miaka 5! Saa bado tu huoni hayo yalikuwa maandalizi ili hata itakapotangazwa rasmi ionekane Chato ina sifa?

Pamoja na hayo, msikilize Samia hapa siku ya maziko ya JPM

View: https://www.youtube.com/watch?v=UmeRoTwBg54

Ili nisikuchoshe, anzia Dakika 1 Sekunde 55

Asante ndugu kwa kumuekewesha huyu bwana mgumu sana kuelewa,asipokuelewa basi
 
Huyu pimbi anaitwa nyakubonga bado anadai eti tuweke ushahidi. Sijui anataka ushahidi gani zaidi ya huu
 
Kama Hayati Magufuli angekuwa hai mpaka keo,hyenda Chato ingeshakuwa mkoa unaojitegemea

Kama tunavyofahamu hulka yake wala asingesubiri vikao vya wadau kutoa maoendekezo,angeamka asubuhi na kutangaza oresidential decree kuwa Chato ni mkoa.

Baada ya kufariki hiyo ndoto ya Chato kuwa mkoa imezima ghafla,

Nikukumbushe mkoa huu ungemega maeneo ya wilaya ya Muleba mpaka magarini,wilaya yote ya Ngara, Kakonko na Biharamulo na Chato yenyewe.

Vikao vta wadau wa suala hilo walimuwa tayari kutengenezewa mkoa wao kwa sharti kuwa makao makuu ya mkoa yawe Nyakanazi ambapo ndio katikati lakini wadau wa Chato walikataa ombi hilo ni vikao vimefungwa rasmi

Hakuna tena mkoa wa Chato
Du! Wameona bora wakose wote.
 
Nyakanazi palivokuwa pori,
Duh!!!
 
Nikukumbushe mkoa huu ungemega maeneo ya wilaya ya Muleba mpaka magarini,wilaya yote ya Ngara, Kakonko na Biharamulo na Chato yenyewe.
Ktk paragraph hii.. mama tibaijuka alipinga vikali kiasi cha kulalama kwamba asili ya wahaya inaenda kupotezwa.
 
Hivi hii issue ya mkoa wa Chato mna uhakika ni mawazo ya Magufuli?

Kabla hajafariki sikuwahi kusikia mambo ya Chato kua mkoa!

Hua mna maana gani kumlisha maneno Magufuli?

Hii ni sawa na wale waliotangaza eti Magufuli anataka kubadili katiba atawale milele!

Ukiwauliza ulisikia wapi hawana jibu.
Kwanza ni ujinga kumsema marehemu yeyote yule kwa kumtuhumu kwa jambo lolote! Unategemea ujibiwe na nani sasa? Ni hali ya uoga na kutojiamini kabisa!
 
Siku ya mazishi ya jiwe nwakiliahi wa wazee wa chato alimkumbusha Sami kuhus hilo
Samia alimjibu kisiasa ila nadhani aliona ni ujinga tu wa mawazo ya jiwe
 
Chato now hapatamaniki
Chato ni kielelezo cha LAANA ambayo Magufuli alileta nchini kwetu. Hiyo ndiyo Gbadolite ya Tamzania sawa na ile ya Mabutu aliyoiacha.

Yule mwehu mnamuita "shujaa" alifanya maovu mengi, na ndiyo maana Mungu alimkatisha maisha kabla hajakamilisha uovu wake. Yaani kweli unaacha kuboresha Mwanza Airport ambayo ni hub ya East Africa then unakwenda kutumia Tsh 70 Bilioni kujenga kiwanja chenye "runway" ya kutua madege kama Boeing na Airbus kwenye kijiji cha Chato!!

Mungu hakuacha huu UFEDHULI uendelee
 
Kwanza ni ujinga kumsema marehemu yeyote yule kwa kumtuhumu kwa jambo lolote! Unategemea ujibiwe na nani sasa? Ni hali ya uoga na kutojiamini kabisa!
Kwanini unadai ni UJINGA ila AKISIFIWA marehemu mnaona sawa. Wewe ni una akili ya ngiri mwenye meno nje
 
Pole sana ndugu yangu, msipende njia za mkato, huwezi kufika mbali kwa vyeti feki!!!
 
Nini cheti feki?? Mbona Magufuli alikuwa na PhD FEKI na akamuua Ben Saanane alipohoji
 
Hivi hii issue ya mkoa wa Chato mna uhakika ni mawazo ya Magufuli?

Kabla hajafariki sikuwahi kusikia mambo ya Chato kua mkoa!

Hua mna maana gani kumlisha maneno Magufuli?

Hii ni sawa na wale waliotangaza eti Magufuli anataka kubadili katiba atawale milele!

Ukiwauliza ulisikia wapi hawana jibu.
Siku ya mazishi yake husikia yule mzee aliyesoma risala akimweleza Samia kuwa Magufuli aliwaahidi mkoa? Hotuba ziko youtube karejee
 
Back
Top Bottom