Tetesi: Mkoa mpya wa Korogwe waja!

Sisi tupo kila sekta. Ng'ombe tunazo, biashara kwa sana, kilimo kwa sana, umande tumepiga sana tu, miji na center nzuri za biashara tunazo, uwingi tunaongoza, kwa hiyo siye tuko juu tu . hutaki kajinyonge
[emoji23][emoji23][emoji23] sawa bwana msukuma mie kwani napinga hayo?
 
Nilikuwa namjibu yehodaya na huyo nizakale kwa walichoandika kuhusu wachaga
Ndio nitake kushangaa, wakati ulishasema your future husband ni mpareπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wilaya ya Siha si sehemu ya Kilimanjaro wamejaa Masai na wageni iende mkoa mpya huo wa korogwe
Kijiografia Siha ipo mbali,haijapakana na Tanga. Labda ungesema wilaya ya Same,Tena iwe ni maeneo ya Hedaru ilikopakana na Tanga. Ila K'njaro ni mkoa mdogo kieneo,haufai kumegwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…