Tetesi: Mkoa mpya wa Korogwe waja!

Tetesi: Mkoa mpya wa Korogwe waja!

Sisi tupo kila sekta. Ng'ombe tunazo, biashara kwa sana, kilimo kwa sana, umande tumepiga sana tu, miji na center nzuri za biashara tunazo, uwingi tunaongoza, kwa hiyo siye tuko juu tu . hutaki kajinyonge
[emoji23][emoji23][emoji23] sawa bwana msukuma mie kwani napinga hayo?
 
Location-of-the-five-districts-within-Morogoro-region-Tanzania.png

Yanaachwa madubwasha kama haya .
 
Wilaya ya Siha si sehemu ya Kilimanjaro wamejaa Masai na wageni iende mkoa mpya huo wa korogwe
Kijiografia Siha ipo mbali,haijapakana na Tanga. Labda ungesema wilaya ya Same,Tena iwe ni maeneo ya Hedaru ilikopakana na Tanga. Ila K'njaro ni mkoa mdogo kieneo,haufai kumegwa.
 
Back
Top Bottom