Tetesi: Mkoa mpya wa Korogwe waja!

with e-government, huhitaji kuwa na mikoa kihivyo, hata ukiiondoa kabisa you can still govern from the head quarters. kwani wilaya zinatosha kuwasiliana na makao makuu ya taifa, isitoshe wote ni wateulwe wa rais
 
Nafurahi unavyo associate Kilimanjaro na Wachagga. Kana kwamba Wamasai hawastahili kuishi Kilimanjaro. Inaonesha jinsi ulivyo mbaguzi na wa akili muflisi
Lakini ndivyo vigezo vinavyotumika kugawa mikoa siku hizi. Mkoa mpya wa Chato unakusudia kumega Ngara na Biharamulo kutoka Kagera ili rasmi sasa kagera ibaki na wahaya tu
 
Ila korogwe ni Halmashauri ya Mji muda mrefu sana, ina make sense kuwa makao makuu ya Mkoa kuliko Handeni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…