Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Wanatafuta upigajiMikoa mingi ya nini na maendeleo ya kusua sua.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanatafuta upigajiMikoa mingi ya nini na maendeleo ya kusua sua.
Chato inalazimishwa tu lakini ni Kijiji kile hao Chawa wa Magufuli wanachezea rasilimali za Nchi.Heri ya huo kuliko wa chato
Huyo Msichana mimi nilisha muignore.Nafurahi unavyo associate Kilimanjaro na Wachagga. Kana kwamba Wamasai hawastahili kuishi Kilimanjaro. Inaonesha jinsi ulivyo mbaguzi na wa akili muflisi
Mimi naona hii Tanzania ndo igawanywe tuwe na nchi tatu. Bara igawanywe mara mbili na Zanzibar ibaki huko huko ijitegemeeMkoa mpya wa Korogwe utaimega mikoa ya Kilimanjaro, Tanga, Pwani na Morogoro.
Ngoja tuone.
Hiyo imebakia stori tu hakuna cha mkoa wala kijijiChato inalazimishwa tu lakini ni Kijiji kile hao Chawa wa Magufuli wanachezea rasilimali za Nchi.
with e-government, huhitaji kuwa na mikoa kihivyo, hata ukiiondoa kabisa you can still govern from the head quarters. kwani wilaya zinatosha kuwasiliana na makao makuu ya taifa, isitoshe wote ni wateulwe wa raisHata wangegawa mikoa yote na kuongeza idadi, ili kufanya kila mkoa uwe na ukubwa kama wa wilaya ndogo kabisa. Bado tu mambo yatakuwa mabaya. Nadhani tubadili kwanza mfumo wetu. Je, mikoa iliyo midogo imeonekana kufanya vizuri zaidi kuliko mikoa mikubwa?
Lakini ndivyo vigezo vinavyotumika kugawa mikoa siku hizi. Mkoa mpya wa Chato unakusudia kumega Ngara na Biharamulo kutoka Kagera ili rasmi sasa kagera ibaki na wahaya tuNafurahi unavyo associate Kilimanjaro na Wachagga. Kana kwamba Wamasai hawastahili kuishi Kilimanjaro. Inaonesha jinsi ulivyo mbaguzi na wa akili muflisi
Ila korogwe ni Halmashauri ya Mji muda mrefu sana, ina make sense kuwa makao makuu ya Mkoa kuliko Handeni.Ni sahihi kabisa
Wilaya ya handeni kubwa mno ilistahili iwe hata mkoa siku byingi
Ungeitwa mkoa wa Handeni ingependeza zaidi sababu ndio Handeni inapakana na mikoa ya Tanga,Kilimanjaro,Pwani na Morogoro.
Ok uundwe tu hata uitwe korogwe sawa ila Handeni ndio ingependeza zaidi
Point nzuri. Kama kuunda mkoa mpya ndiko kusogeza huduma karibu na wananchi, basi tuundiwe nchi mpya kabisa ili kusogeza huduma ya rais karibu na wananchi.Mimi naona hii Tanzania ndo igawanywe tuwe na nchi tatu. Bara igawanywe mara mbili na Zanzibar ibaki huko huko ijitegemee
Kila Siku mnaongea hivi, Ila yakitolewa Mapato Ya Taifa Kimkoa Tanga Haikosi Top 10 ama sometime Top 5,Tanga yenyewe tiamajitiamaji, izae tena mkoa?
Lembeni inakuja Korogwe!Kilimanjaro ukiimega kitabaki kitu kweli acha uongo
Labda wanataka kuiga Zanzibar, mkoa mmoja ni kama Kijiji.Mikoa mingi ya nini na maendeleo ya kusua sua.
Sijui tumemkosea nn Mungu hadi akatupa viongozi wa namna hiiLakini ndivyo vigezo vinavyotumika kugawa mikoa siku hizi. Mkoa mpya wa Chato unakusudia kumega Ngara na Biharamulo kutoka Kagera ili rasmi sasa kagera ibaki na wahaya tu
Wasituchoshe. Hata kila wilaya ikiwa mkoa ni unnecessary sisi tunataka maendeleo.Labda wanataka kuiga Zanzibar, mkoa mmoja ni kama Kijiji.
Sina tatizo na Hilo nimependekeza tu mkoa uitwe Handeni makao makuu ya mkoa kuwa Korogwe ruksaIla korogwe ni Halmashauri ya Mji muda mrefu sana, ina make sense kuwa makao makuu ya Mkoa kuliko Handeni.
Hao Warundi nimekutana nao kadhaa. Korogwe inamchanganyiko haswa.Hata jina Korogwe ni la Kisukuma Wangoni walikuwa wachache pamoja na Warundi na Wanyamwanga.
Diversity ya Korogwe ni ya muda mrefu sana.Hao Warundi nimekutana nao kadhaa. Korogwe inamchanganyiko haswa.
Utakuwa mkoa mzuri sana kuishi bwashee!Diversity ya Korogwe ni ya muda mrefu sana.
Sasa mapenzi sijui yatabaki Tanga au yatahamia Korogwe?Utakuwa mkoa mzuri sana kuishi bwashee!