Tetesi: Mkoa mpya wa Korogwe waja!

Si ndio akawa mswahili anawaza ngoma tu mkuu na sio investment kabisa yeye ngoma tu
Ngoma ndio starehe yetu dear....Ni Kama mchaga na mbege. Muache basi kutusimanga 😀
 
Ngoma ndio starehe yetu dear....Ni Kama mchaga na mbege. Muache basi kutusimanga [emoji3]
Mimi sisimangi ni huyo yehodsya alianxa kashfa na matusi wakati wazaramo wakwere Hawana shida
 
Wapare wanavyoithamini Moshi kuliko kwao Thame na Mwanga sijui itakuwaje sasa! [emoji848]

Maana wakienda kwao hawasemagi wanaenda Thame au Mwanga utasikia wakisema naenda Mothi [emoji39][emoji12]

Mkataa kwao Mtumwa! [emoji108]
 
Sawa lakini nyumba ya Bei nafuu si kakupangisha? Kuliko kulala geto ya mchaga wakati kwenu uchagani hujawahi kulala geto la wahudumu bar au grocery kibao?
Nyumba gani za bei nafuu wakati wameuza viwanja na nyumba hapa mjini wanazidi kusogea kisarawe na bagamoyo ,
 
Handeni Hata Nyanya Mnaagiza hamtaki kufanya kazi nenda pale sokoni utaona....Sasa Nyie Mnataka Mkoa Wa nini??
 
Handeni Hata Nyanya Mnaagiza hamtaki kufanya kazi nenda pale sokoni utaona....Sasa Nyie Mnataka Mkoa Wa nini??
Kama nyanya tunaagiza unajua maana yake ? Ni kuwa tuna pesa .Bila kufanya kazi tungekuwa na pesa za kununua nyanya?
 
Si ndio akawa mswahili anawaza ngoma tu mkuu na sio investment kabisa yeye ngoma tu
Ngoma Ni investment inaingiza pesa kajaribu kuita kikundi Cha wapiga ngoma uone hela utakayochajiwa
 
Kumbe bado unatupenda eeh![emoji39]
 
Mikoa ya sasa yawe Majiji na Wilaya za sasa ziwe Mikoa!
 
Wapare wanavyoithamini Moshi kuliko kwao Thame na Mwanga sijui itakuwaje sasa! [emoji848]

Maana wakienda kwao hawasemagi wanaenda Thame au Mwanga utasikia wakisema naenda Mothi [emoji39][emoji12]

Mkataa kwao Mtumwa! [emoji108]
Hata mrombo atasema naenda moshi, hata mmrangu vile vile na hata mpalestina. Japo sisi mara nyingi tunasema tunaenda upareni mkuu, wala hatusemi Moshi.
 
Sijawahi ona umuhimu wa kuongeza mikoa zaidi ya kuwapa watu ulaji na kuongeza gharama kwa walipa kodi wa nchi hii.
Inasaidia kuzuia ukanda kwa kutengeneza jamii ndogo ndogo. Ethiopia wanateseka sasa hivi kwa sababu wana mikoa michache yenye nguvu yenye kutaka kujitawala
 
Wilaya ya Siha si sehemu ya Kilimanjaro wamejaa Masai na wageni iende mkoa mpya huo wa korogwe
Vipi hapo geography yake itakuwaje? Siha iliyopakana na Arusha ama wamaanisha Siha ipi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…