darcity
JF-Expert Member
- Jul 20, 2009
- 9,101
- 18,055
Ngoma ndio starehe yetu dear....Ni Kama mchaga na mbege. Muache basi kutusimanga 😀Si ndio akawa mswahili anawaza ngoma tu mkuu na sio investment kabisa yeye ngoma tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoma ndio starehe yetu dear....Ni Kama mchaga na mbege. Muache basi kutusimanga 😀Si ndio akawa mswahili anawaza ngoma tu mkuu na sio investment kabisa yeye ngoma tu
Mimi sisimangi ni huyo yehodsya alianxa kashfa na matusi wakati wazaramo wakwere Hawana shidaNgoma ndio starehe yetu dear....Ni Kama mchaga na mbege. Muache basi kutusimanga [emoji3]
Nyumba gani za bei nafuu wakati wameuza viwanja na nyumba hapa mjini wanazidi kusogea kisarawe na bagamoyo ,Sawa lakini nyumba ya Bei nafuu si kakupangisha? Kuliko kulala geto ya mchaga wakati kwenu uchagani hujawahi kulala geto la wahudumu bar au grocery kibao?
Handeni Hata Nyanya Mnaagiza hamtaki kufanya kazi nenda pale sokoni utaona....Sasa Nyie Mnataka Mkoa Wa nini??Ni sahihi kabisa
Wilaya ya handeni kubwa mno ilistahili iwe hata mkoa siku byingi
Ungeitwa mkoa wa Handeni ingependeza zaidi sababu ndio Handeni inapakana na mikoa ya Tanga,Kilimanjaro,Pwani na Morogoro.
Ok uundwe tu hata uitwe korogwe sawa ila Handeni ndio ingependeza zaidi
Kama nyanya tunaagiza unajua maana yake ? Ni kuwa tuna pesa .Bila kufanya kazi tungekuwa na pesa za kununua nyanya?Handeni Hata Nyanya Mnaagiza hamtaki kufanya kazi nenda pale sokoni utaona....Sasa Nyie Mnataka Mkoa Wa nini??
Ngoma Ni investment inaingiza pesa kajaribu kuita kikundi Cha wapiga ngoma uone hela utakayochajiwaSi ndio akawa mswahili anawaza ngoma tu mkuu na sio investment kabisa yeye ngoma tu
Kumbe bado unatupenda eeh![emoji39]Shida sio kuwa na mikoa 100 changamoto ya tanzania ni umaskini na huduma kuwafikia wananchi wengi hadi ngazi ya chini.
Na hyo Kilimanjaro kwanini imegwe wakati ni mojawapo ya mikoa midogo nchi ikitoka Dar inafuatiwa Kilimanjaro, so mnataka kuwaamishia ndugu zangu wapare huko Handeni hamko serious nyie.
Very good, Korogwe (Manundu) iliasisiwa na Manamba wa mikonge wa Kisukuma kutoka Sukumaland.
Mkoa mpya wa Korogwe utaimega mikoa ya Kilimanjaro, Tanga, Pwani na Morogoro.
Ngoja tuone.
Hata mrombo atasema naenda moshi, hata mmrangu vile vile na hata mpalestina. Japo sisi mara nyingi tunasema tunaenda upareni mkuu, wala hatusemi Moshi.Wapare wanavyoithamini Moshi kuliko kwao Thame na Mwanga sijui itakuwaje sasa! [emoji848]
Maana wakienda kwao hawasemagi wanaenda Thame au Mwanga utasikia wakisema naenda Mothi [emoji39][emoji12]
Mkataa kwao Mtumwa! [emoji108]
Sijawahi ona umuhimu wa kuongeza mikoa zaidi ya kuwapa watu ulaji na kuongeza gharama kwa walipa kodi wa nchi hii.Mkoa mpya wa Korogwe utaimega mikoa ya Kilimanjaro, Tanga, Pwani na Morogoro.
Ngoja tuone.
Ina Halmashauri 11. Ni mkubwa sanaTanga yenyewe tiamajitiamaji, izae tena mkoa?
Inasaidia kuzuia ukanda kwa kutengeneza jamii ndogo ndogo. Ethiopia wanateseka sasa hivi kwa sababu wana mikoa michache yenye nguvu yenye kutaka kujitawalaSijawahi ona umuhimu wa kuongeza mikoa zaidi ya kuwapa watu ulaji na kuongeza gharama kwa walipa kodi wa nchi hii.
Pale Januari Makamba atakapokuwa Amiri Jeshi mkuu na Mzee Yusuph Makamba kama mshauri wa Raisi au?Mkoa mpya wa Korogwe utaimega mikoa ya Kilimanjaro, Tanga, Pwani na Morogoro.
Ngoja tuone.
Vipi hapo geography yake itakuwaje? Siha iliyopakana na Arusha ama wamaanisha Siha ipi.Wilaya ya Siha si sehemu ya Kilimanjaro wamejaa Masai na wageni iende mkoa mpya huo wa korogwe
Wilaya ya Siha si sehemu ya Kilimanjaro wamejaa Masai na wageni iende mkoa mpya huo wa korogwe
Kilimanjaro mnataka kutuachia kilele cha mlima tuu?Mkoa mpya wa Korogwe utaimega mikoa ya Kilimanjaro, Tanga, Pwani na Morogoro.
Ngoja tuone.