Tetesi: Mkoa mpya wa Korogwe waja!

Kwani wakati wa ukoloni wapare si walikuwa Tanga Province. Wacha wachagga wabaki peke yao si hawataki makabila mengine.
 
Mimi huwa nawaambia jamaa zetu wachagga hawana akili. Wakati wasukuma wako busy kuanzisha miji mingi midogo ya biashara kama Katoro, Lamadi, Masumbwe, Mhangu, Nyarugusu, Ngoma na Lunzewe, wachagga wako busy kujenga mijengo mikubwa huko uswekeni Kilimanjaro kwenye kaeneo kadogo ka robo eka kupokea waombolezaji ! Akili nyingi huondoa maarifa. Kwa ufupi Kilimanjaro ni Makaburini tu kama ilivyo Kinondoni makaburini.
 
Geita imefaidika mno. Na sasa mji unazidi kupanuka na miundo mbinuu safi.
 
Nani kakudanganya kwamba mapato ya Kahama yanaizidi Geita ? Lete data hapa.
 
Miundo mbinu mizuri ya Kahama ni ipi ? Maana kutoka mjini Kahama kwenda Halmashauri zake zote za Msalala na Ushetu barabara zote ni vumbi tupu. Vyanzo vya mapato Kahama ni dhahabu tu wakati Geita ina Dhahabu, Samaki n.k.
 
Kwani mchagga ana nini cha ziada ? Mtu mwenye akili asingeenda kujenga jengo la ghorofa uswekeni ili likaliwe na popo. Ni ujinga tu.
Mmh mm nimpare ila huwezi mfananisha mchaga na mzaramo ,mzaramo akipata hela yy anawaza kwenda kwenye ngoma na ngono
 
Ukweli mtupu, mkuu.
 
Kwani mchagga ana nini cha ziada ? Mtu mwenye akili asingeenda kujenga jengo la ghorofa uswekeni ili likaliwe na popo. Ni ujinga tu.
Halafu vitega uchumi anaenda kuweka maeneo ya makabila mengine Kodi analipa kule Kilimanjaro inajazana mijumba isiyoingiza hela wanalala popo na mende ikisubiri majeneza toka maeneo mbali na Kilimanjaro ikija na waombolezaji
 
Mmmmmmhmn ila tanga ni kubwa jamani chaa. Sasa najiuliza kama tanga ni kubwa tabora niaje babu?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…