Hiv ili mkoa uwe mkoa Nini kinazingatiwa??
1) s/mitter za mraba,
2)idadi ya watu?
3)huduma za kijamii??
4)miundombinu
5) influence za kisiasa!
6)kipato cha wakazi husika!!
Au nn?? Maana hata huku chato pamoja na kuwa wilaya na kutaka kuwa mkoa asee bado Sana Sana,
Inaweza kuwa sawa kwenye miundombinu ila watu wake na kipato Chao haviwiani kabisa kuwa mkoa, hasa ukiitoa geita,
Na geita yenyewe bado labda tu kwa sabab za mgodi, maana ukichukua geita na vyanzo vyake vyote hata kimiundombinu huwezi kuilinganisha na kahama ambayo bado inatambulika Kama wilaya, japo pato lake linazidi la geita ninauhakika..
Sasa wenye kujua watueleze nn kinasababisha wilaya kuwa mkoa??