Tetesi: Mkoa mpya wa Korogwe waja!

Tetesi: Mkoa mpya wa Korogwe waja!

Mkoa mpya wa Korogwe utaimega mikoa ya Kilimanjaro, Tanga, Pwani na Morogoro.

Ngoja tuone.
Ni sahihi kabisa

Wilaya ya handeni kubwa mno ilistahili iwe hata mkoa siku byingi

Ungeitwa mkoa wa Handeni ingependeza zaidi sababu ndio Handeni inapakana na mikoa ya Tanga,Kilimanjaro,Pwani na Morogoro.
Ok uundwe tu hata uitwe korogwe sawa ila Handeni ndio ingependeza zaidi
 
Ni sahihi kabisa

Wilaya ya handeni kubwa mno ilietahili iwe hata mkoa

Ungeitwa mkoa wa Handeni ingependeza zaidi sababu ndio inapakana nanmkoa wa Tanga,Kilimanjaro,Pwani na Morogoro.
Ok uundwe tu hata uitwe korogwe sawa ila Handeni ndio ingependeza zaidi
Hata wangegawa mikoa yote na kuongeza idadi, ili kufanya kila mkoa uwe na ukubwa kama wa wilaya ndogo kabisa. Bado tu mambo yatakuwa mabaya. Nadhani tubadili kwanza mfumo wetu. Je, mikoa iliyo midogo imeonekana kufanya vizuri zaidi kuliko mikoa mikubwa?
 
Nafurahi unavyo associate Kilimanjaro na Wachagga. Kana kwamba Wamasai hawastahili kuishi Kilimanjaro. Inaonesha jinsi ulivyo mbaguzi na wa akili muflisi
Kawaulize wachaga kwa Nini hawataki kuuzia ardhi yao makabila mengine waiendeleze wako Tayari ibaki mapori why?
 
Back
Top Bottom