johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mkoa mpya wa Korogwe utaimega mikoa ya Kilimanjaro, Tanga, Pwani na Morogoro.
Ngoja tuone.
Ngoja tuone.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni sahihi kabisaMkoa mpya wa Korogwe utaimega mikoa ya Kilimanjaro, Tanga, Pwani na Morogoro.
Ngoja tuone.
One of the signs of a failed leadership. They always try to take desparate measures.Mkoa mpya wa Korogwe utaimega mikoa ya Kilimanjaro, Tanga, Pwani na Morogoro.
Ngoja tuone.
Kilimanjaro unamega nini...... the region is tinyMkoa mpya wa Korogwe utaimega mikoa ya Kilimanjaro, Tanga, Pwani na Morogoro.
Ngoja tuone.
Hata wangegawa mikoa yote na kuongeza idadi, ili kufanya kila mkoa uwe na ukubwa kama wa wilaya ndogo kabisa. Bado tu mambo yatakuwa mabaya. Nadhani tubadili kwanza mfumo wetu. Je, mikoa iliyo midogo imeonekana kufanya vizuri zaidi kuliko mikoa mikubwa?Ni sahihi kabisa
Wilaya ya handeni kubwa mno ilietahili iwe hata mkoa
Ungeitwa mkoa wa Handeni ingependeza zaidi sababu ndio inapakana nanmkoa wa Tanga,Kilimanjaro,Pwani na Morogoro.
Ok uundwe tu hata uitwe korogwe sawa ila Handeni ndio ingependeza zaidi
Wilaya ya Siha si sehemu ya Kilimanjaro wamejaa Masai na wageni iende mkoa mpya huo wa korogweKilimanjaro unamega nini...... the region is tiny
Nafurahi unavyo associate Kilimanjaro na Wachagga. Kana kwamba Wamasai hawastahili kuishi Kilimanjaro. Inaonesha jinsi ulivyo mbaguzi na wa akili muflisiWilaya ya Siha si sehemu ya Kilimanjaro wamejaa Masai na wageni iende mkoa mpya huo wa korogwe
Wasambaa na Wapare ni jamii moja bwashee!Teh teh! Wasambaa wameitamani ndungu, kihurio na hedaru! Hamegi mtu mkoa hapa! Tutazichapa
Na Wangoni kutoka Songea!Very good, Korogwe (Manundu) iliasisiwa na Manamba wa Kisukuma kutoka Sukumaland.
Hata jina Korogwe ni la Kisukuma Wangoni walikuwa wachache pamoja na Warundi na Wanyamwanga.Na Wangoni kutoka Songea!
Kumbe!Hata jina Korogwe ni la Kisukuma.
Heri ya huo kuliko wa chatoMkoa mpya wa Korogwe utaimega mikoa ya Kilimanjaro, Tanga, Pwani na Morogoro.
Ngoja tuone.
Chato ndiyo ishakufa kibuduNi sahihi kabisa
Wilaya ya handeni kubwa mno ilistahili iwe hata mkoa siku byingi
Ungeitwa mkoa wa Handeni ingependeza zaidi sababu ndio Handeni inapakana na mikoa ya Tanga,Kilimanjaro,Pwani na Morogoro.
Ok uundwe tu hata uitwe korogwe sawa ila Handeni ndio ingependeza zaidi
Nasikia na nyie Masasi mnataka mkoa!Heri ya huo kuliko wa chato
Kawaulize wachaga kwa Nini hawataki kuuzia ardhi yao makabila mengine waiendeleze wako Tayari ibaki mapori why?Nafurahi unavyo associate Kilimanjaro na Wachagga. Kana kwamba Wamasai hawastahili kuishi Kilimanjaro. Inaonesha jinsi ulivyo mbaguzi na wa akili muflisi
Heri useme wewe maana tukisema sisi tunaambiwa tunawwcheleweshea maendereeeeoooOne of the signs of a failed leadership. They always try to take desparate measures.