johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
- #41
Yatabaki Tanga Waja leo waondoka leo!Sasa mapenzi sijui yatabaki Tanga au yatahamia Korogwe?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yatabaki Tanga Waja leo waondoka leo!Sasa mapenzi sijui yatabaki Tanga au yatahamia Korogwe?
Chadema hutawaona kupinga hapa, ila kwa Chato kuwa mkoa hawatakubaliMkoa mpya wa Korogwe utaimega mikoa ya Kilimanjaro, Tanga, Pwani na Morogoro.
Ngoja tuone.
Bado na RuangwaMkoa mpya wa Korogwe utaimega mikoa ya Kilimanjaro, Tanga, Pwani na Morogoro.
Ngoja tuone.
Siyo kweli makabila kibao yamenunua ardhi Kilimanjaro mpk wahindi, tuacheni ukabila wakuuKawaulize wachaga kwa Nini hawataki kuuzia ardhi yao makabila mengine waiendeleze wako Tayari ibaki mapori why?
Amekufa nayo mchatoChato ndiyo ishakufa kibudu
KwiiishneyyyyAmekufa nayo mchato
Tujifunze kutengeneza taasisi imara na siyo mtuKwiiishneyyyy
MÀTAGA yanaruka na kukanyagana.Mkoa mpya wa Korogwe utaimega mikoa ya Kilimanjaro, Tanga, Pwani na Morogoro.
Ngoja tuone.
Kamuulize Lukuvi kwa Nini mji wa Moshi hauwi jiji na haupanuki hawataki kuuza ardhi kwa wageni Wenye pesa wakiwemo wachaga wenzao Wenye hela ohhh hii ardhi ya ukoo wanaishi kuzika Marehemu badala ya kuuza wajengewe viwanda kuongeza ajira nk hawana sehemu moja za kuzikia kila mtu anataka eneo lake liwe la kuzika Marehemu!!! Lukuvi alushauri jamani tengeni eneo moja la makaburi mengine yaacheni yafanyiwe maendeleo ya kiuchumi wakakataa wabaki hivyo mji umechoka utafikiri umetapikwa na mbwaSiyo kweli makabila kibao yamenunua ardhi Kilimanjaro mpk wahindi, tuacheni ukabila wakuu
Hilo linahitaji watu wenye kujitambua kuliko hawa wanao tawaliwa na matumbo yao.Tujifunze kutengeneza taasisi imara na siyo mtu
Kama hilo mataga ulipandisha uzi huuMÀTAGA yanaruka na kukanyagana.
Utakuwa mgonjwa wewe, Moshi utailinganisha na Dodoma, Singida au Morogoro? sema ukweli ardhi ya Moshi inauzwa ghali snKamuulize Lukuvi kwa Nini mji wa Moshi hauwi jiji na haupanuki hawataki kuuza ardhi kwa wageni Wenye pesa wakiwemo wachaga wenzao Wenye hela ohhh hii ardhi ya ukoo wanaishi kuzika Marehemu badala ya kuuza wajengewe viwanda kuongeza ajira nk hawana sehemu moja za kuzikia kila mtu anataka eneo lake liwe la kuzika Marehemu!!! Lukuvi alushauri jamani tengeni eneo moja la makaburi mengine yaacheni yafanyiwe maendeleo ya kiuchumi wakakataa wabaki hivyo mji umechoka utafikiri umetapikwa na mbwa
Kahama,nk yanakuwa maji Moshi utafikiri kigoma ujiji kwa wachawi wabembe wasiopenda maendeleo
Mfumo mbovu wa elimu wanaona fahari kuitwa professor kumbe kichwani ni kopo tupuHilo linahitaji watu wenye kujitambua kuliko hawa wanao tawaliwa na matumbo yao.
Wapo tayari kujivunjia heshima kisa tumbo lao lijae neema.
Inawezekana vipi mtu professor leo anajiita kuwa kaokotwa majalalani kisa shibe?
Handeni ishagawanywa na kuunda wilaya za Kilindi na HandeniNi sahihi kabisa
Wilaya ya handeni kubwa mno ilistahili iwe hata mkoa siku byingi
Ungeitwa mkoa wa Handeni ingependeza zaidi sababu ndio Handeni inapakana na mikoa ya Tanga,Kilimanjaro,Pwani na Morogoro.
Ok uundwe tu hata uitwe korogwe sawa ila Handeni ndio ingependeza zaidi
Aibu sana hiiMfumo mbovu wa elimu wanaona fahari kuitwa professor kumbe kichwani ni kopo tupu
Hata hiyo kilindi baada ya kuzaliwa upya hakuna kipya zaidi ya jina tu .Handeni ishagawanywa na kuunda wilaya za Kilindi na Handeni
Mwenyeji wa kule nini mkuu?Hata hiyo kilindi baada ya kuzaliwa upya hakuna kipya zaidi ya jina tu .
Barabara zote ni mbovu kutoka Handeni mjini kwenda kilindi wilayani ni vumbi tupu.
Njia iliyo mzuri kidogo ni ya kuanzia kibirashi kwenda kiteto tu lkn barabara za ndani zote ni majanga matupu
Hapana mkuu bali nimefanyia kazi wilaya zote mbiliMwenyeji wa kule nini mkuu?