Tetesi: Mkoa mpya wa Korogwe waja!

Tetesi: Mkoa mpya wa Korogwe waja!

Siyo kweli makabila kibao yamenunua ardhi Kilimanjaro mpk wahindi, tuacheni ukabila wakuu
Kamuulize Lukuvi kwa Nini mji wa Moshi hauwi jiji na haupanuki hawataki kuuza ardhi kwa wageni Wenye pesa wakiwemo wachaga wenzao Wenye hela ohhh hii ardhi ya ukoo wanaishi kuzika Marehemu badala ya kuuza wajengewe viwanda kuongeza ajira nk hawana sehemu moja za kuzikia kila mtu anataka eneo lake liwe la kuzika Marehemu!!! Lukuvi alushauri jamani tengeni eneo moja la makaburi mengine yaacheni yafanyiwe maendeleo ya kiuchumi wakakataa wabaki hivyo mji umechoka utafikiri umetapikwa na mbwa

Kahama,nk yanakuwa maji Moshi utafikiri kigoma ujiji kwa wachawi wabembe wasiopenda maendeleo
 
Utakuwa mgonjwa wewe, Moshi utailinganisha na Dodoma, Singida au Morogoro? sema ukweli ardhi ya Moshi inauzwa ghali sn
 
Hilo linahitaji watu wenye kujitambua kuliko hawa wanao tawaliwa na matumbo yao.

Wapo tayari kujivunjia heshima kisa tumbo lao lijae neema.

Inawezekana vipi mtu professor leo anajiita kuwa kaokotwa majalalani kisa shibe?
Mfumo mbovu wa elimu wanaona fahari kuitwa professor kumbe kichwani ni kopo tupu
 
Ni sahihi kabisa

Wilaya ya handeni kubwa mno ilistahili iwe hata mkoa siku byingi

Ungeitwa mkoa wa Handeni ingependeza zaidi sababu ndio Handeni inapakana na mikoa ya Tanga,Kilimanjaro,Pwani na Morogoro.
Ok uundwe tu hata uitwe korogwe sawa ila Handeni ndio ingependeza zaidi
Handeni ishagawanywa na kuunda wilaya za Kilindi na Handeni
 
Hata hiyo kilindi baada ya kuzaliwa upya hakuna kipya zaidi ya jina tu .

Barabara zote ni mbovu kutoka Handeni mjini kwenda kilindi wilayani ni vumbi tupu.

Njia iliyo mzuri kidogo ni ya kuanzia kibirashi kwenda kiteto tu lkn barabara za ndani zote ni majanga matupu
 
Mwenyeji wa kule nini mkuu?
 
na kuna mkoa mwingine unakuja
utaundwa na
Rombo
Taveta
Holili

Utaitwa Nachingwea
 
Back
Top Bottom