YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
Sawa uundwe mkoa , wilaya hizo zirudi kuwa part ya mkoa mpya wa HandeniHandeni ishagawanywa na kuunda wilaya za Kilindi na Handeni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa uundwe mkoa , wilaya hizo zirudi kuwa part ya mkoa mpya wa HandeniHandeni ishagawanywa na kuunda wilaya za Kilindi na Handeni
Rudi darasa la 4 ukasome jiografia.Wilaya ya Siha si sehemu ya Kilimanjaro wamejaa Masai na wageni iende mkoa mpya huo wa korogwe
Unajua mambo ya ccm tu ila geography hujui siha Iko karibia na arushaWilaya ya Siha si sehemu ya Kilimanjaro wamejaa Masai na wageni iende mkoa mpya huo wa korogwe
Australia ,Canada na Newzealand kiongozi wake Ni malkia wa Uingereza sembuse mkoa wa Handeni?Rudi darasa la 4 ukasome jiografia.
Tatizo la Korogwe ni lazima urogwe kwanza.Utakuwa mkoa mzuri sana kuishi bwashee!
Mama ametuahidi barabara za changarawe .futa mawazo ya lami mjombaHata hiyo kilindi baada ya kuzaliwa upya hakuna kipya zaidi ya jina tu .
Barabara zote ni mbovu kutoka Handeni mjini kwenda kilindi wilayani ni vumbi tupu.
Njia iliyo mzuri kidogo ni ya kuanzia kibirashi kwenda kiteto tu lkn barabara za ndani zote ni majanga matupu
Moshi inaachwa Bwasheee!Utakuwa mgonjwa wewe, Moshi utailinganisha na Dodoma, Singida au Morogoro? sema ukweli ardhi ya Moshi inauzwa ghali sn
Siha na Korogwe zinaungana wapi?Wilaya ya Siha si sehemu ya Kilimanjaro wamejaa Masai na wageni iende mkoa mpya huo wa korogwe
Mji wa Moshi ukibaki wa kuzikiwa wewe inakuuma nini sasa. Fight mambo ya waswahili wenzako huko moshi kwenye mji mdogo ndio maana watu wake wamesambaa nchi nzima yet unataka wauze hyo ardhi ndogo kwenye sehemu populated kiasi hicho?Kamuulize Lukuvi kwa Nini mji wa Moshi hauwi jiji na haupanuki hawataki kuuza ardhi kwa wageni Wenye pesa wakiwemo wachaga wenzao Wenye hela ohhh hii ardhi ya ukoo wanaishi kuzika Marehemu badala ya kuuza wajengewe viwanda kuongeza ajira nk hawana sehemu moja za kuzikia kila mtu anataka eneo lake liwe la kuzika Marehemu!!! Lukuvi alushauri jamani tengeni eneo moja la makaburi mengine yaacheni yafanyiwe maendeleo ya kiuchumi wakakataa wabaki hivyo mji umechoka utafikiri umetapikwa na mbwa
Kahama,nk yanakuwa maji Moshi utafikiri kigoma ujiji kwa wachawi wabembe wasiopenda maendeleo
Waache upumbavu, ili sehemu iwe mkoa inatakiwa kujitosheleza. Ukishaanza kumega vipande vya wengine unakuwa mpumbavuMkoa mpya wa Korogwe utaimega mikoa ya Kilimanjaro, Tanga, Pwani na Morogoro.
Ngoja tuone.
Mkuu hata hizo za changarawe ni bora zaidi kuliko haya mashimo na mavumbi ya barabara za wilaya ya Handeni na KilindiMama ametuahidi barabara za changarawe .futa mawazo ya lami mjomba
Chanzo cha taarifa hii ni kipi mkuu?Mkoa mpya wa Korogwe utaimega mikoa ya Kilimanjaro, Tanga, Pwani na Morogoro.
Ngoja tuone.
Njombe baada ya kuwa mkoa imekimbiza sana kimaendeleoHata wangegawa mikoa yote na kuongeza idadi, ili kufanya kila mkoa uwe na ukubwa kama wa wilaya ndogo kabisa. Bado tu mambo yatakuwa mabaya. Nadhani tubadili kwanza mfumo wetu. Je, mikoa iliyo midogo imeonekana kufanya vizuri zaidi kuliko mikoa mikubwa?
Wachaga wajinga tuMji wa Moshi ukibaki wa kuzikiwa wewe inakuuma nini sasa. Fight mambo ya waswahili wenzako huko moshi kwenye mji mdogo ndio maana watu wake wamesambaa nchi nzima yet unataka wauze hyo ardhi ndogo kwenye sehemu populated kiasi hicho?
Huyo jamaa yako hajui hata Siha ipo sehemu gani yeye karopoka tu, Dodoma na Moshi ni big no Moshi ipo mbali snMoshi inaachwa Bwasheee!
Maendeleo ya ukuaji wa mji wa Dodoma ukilinganisha na Moshi ni mbingu na ardhi.
Dodoma inakuwa kwa kasi balaa,Singida yenyewe inaanza kupaa.
ila Siha haijapakana na Korogwe na hivyo haiwezi kuunganishwa kwenye huo unaoitwa Mkoa mpya.
Labda wachukue Same yote.
Siha imepakana na Arusha bwashee Yehodaya
Unalinganisha mchaga na mzaramo mbona matusi ya nguoni hayo, ni mtu mjinga anayeuza ardhi ka waswahili na kuendelea kucheza ngoma na ngono hyo ni laana mbaya Sasa hivi wazaramo mtauza maeneo muendelee kusogea Hadi huko msumbiji na vigoma vyenu tuWachaga wajinga tu
Wahindi na waarabu huamini kuwa unapopata riziki ndio kwenu
Mchaga wawekezaji kibao wanaenda kwake ardhi hatoi ohhh hii ya makaburi akili hana
Dar mfano wazaramo ardhi waneachia wageni lakini ndio wanaoongoza nchi nzima kwa kutolalamika tatizo la Ajira viwanda viko Hadi maporini vijijini
Wachaga ndio wanaoongoza kulia Ajira hamna sio wazaramo
Wanabahilia ardhi kuwa ya kuzikia hawauzii hata wachaga wenzao Wenye pesa wawekeze ambao sio ukoo wao
Matokeo wanazalisha machangudoa wahudumu wa bar na grocery Dar,Arusha nk
Sasa hivi machangudoa mihudumu ya bar mingi inatoka mikoa miwili Kwa wachaga na singida akili hiyo? Singida tunaweza wasamehe wachaga hapana ubahili wa Ardhi una athari kwenye ajira za watu wao wenyewe
Njombe kilimo Cha miti na mbao kinasaidia na swala sio kugaiwa huo mkoa mzee. Ingekuwa kugawa ni maendeleo basi Manyara ingeshapaa kiuchumi ukiongeza na kataviNjombe baada ya kuwa mkoa imekimbiza sana kimaendeleo
'Kuongeza' ajiraMikoa mingi ya nini na maendeleo ya kusua sua.
Kwa taarifa yako nyumba rahisi Bei nafuu kwa hao machangudoa wenu wa Moshi wasiotaka kulaoa geto hupanga nyumba za wazaramo za Bei nafuu Hakuna Cha Kodi ya miezi sita Wala mwaka . Nyumba za wachaga hapangi Asante kuletea wapangaji kwa wamiliki nyumba wazaramo wakati Moshi Nyumba za kupanga wanalala panya na mende kwani zipo tu kwa ajili ya wafiwa na misiba na Christmas kufikia lakini haziingizi hata Mia!!! Mtu anabweka ohhh nimejenga nyumbani !! Ok umejenga inaingiza shilingi ngapi wakati hiyo nyumba kazi kuu kupokea tu maiti na waombolezaji na vacation home ya Krismasi tu ? Muda ukiobaki wanalala mende na panya? Mzaramo Yuko juu nyumba yake full time ina watu hata iwe na umeme au la na wapangaji wakubwa machangudoa wa kichaga walioletwa kama wahudumu bar na grocery waliochoka kulala getoUnalinganisha mchaga na mzaramo mbona matusi ya nguoni hayo, ni mtu mjinga anayeuza ardhi ka waswahili na kuendelea kucheza ngoma na ngono hyo ni laana mbaya Sasa hivi wazaramo mtauza maeneo muendelee kusogea Hadi huko msumbiji na vigoma vyenu tu