nizakale
JF-Expert Member
- Oct 23, 2019
- 4,035
- 2,938
Yaani hao wachagga ndio mbumbumbu kabisa hapa Tanzania.
Halafu vitega uchumi anaenda kuweka maeneo ya makabila mengine Kodi analipa kule Kilimanjaro inajazana mijumba isiyoingiza hela wanalala popo na mende ikisubiri majeneza toka maeneo mbali na Kilimanjaro ikija na waombolezaji