Mtili wandu
JF-Expert Member
- Dec 15, 2012
- 8,257
- 11,499
Nadhani wangeanza na Morogoro maana ni mkubwa mno.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanatengeneza ulaji. Huu ulikuwa ni wakari wa kupunguza mikoa.One of the signs of a failed leadership. They always try to take desparate measures.
Halafu wewe utakuwa RCMkoa mpya wa Korogwe utaimega mikoa ya Kilimanjaro, Tanga, Pwani na Morogoro.
Ngoja tuone.
Na wewe utakuwa Mwananchi wangu 😀😀Halafu wewe utakuwa RC
Hakuna haja ya kuongeza ukubwa wa serikali kwa kweli...Mkoa mpya wa Korogwe utaimega mikoa ya Kilimanjaro, Tanga, Pwani na Morogoro.
Ngoja tuone.
Ingepunguzwa haswa. Ibakie 20 tu kwa Tanzania Bara..Wanatengeneza ulaji. Huu ulikuwa ni wakari wa kupunguza mikoa.
Sasa kilimanjaro wakiimega itabaki nini! Kwa hiyo kilimanjaro iishie mgagao! Mpakani mwa Mwanga na Same?Mkoa mpya wa Korogwe utaimega mikoa ya Kilimanjaro, Tanga, Pwani na Morogoro.
Ngoja tuone.
Hivi una nini na sisi wewe?Teh teh! Wasambaa wameitamani ndungu, kihurio na hedaru! Hamegi mtu mkoa hapa! Tutazichapa
Mganga wako Korogwe kwetuNa wewe utakuwa Mwananchi wangu [emoji3][emoji3]