ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 16,871
- 39,881
1. SONGWE
Oyaa wanangu wa SONGWE nawapa nambari wani, huko Tunduma kilinuka mno,
Ilikuwa usiku wa kuamkia uchafuzi 28 Oktoba nyie mlitutoa usingizini
2. ARUSHA
Macharii wa chuga mlitisha,
Oyaaa sio kinyonge
Mlipinga Kwa vitendo kwamba hamtaki Bashite na Chama cha mavii
Kudos chuga boys
3 Dar
Wanangu wa singeli na vinjunga mlitisha mno
Wanangu wa Kimara, Ubungo, Kinondoni, Tegeta, Mbagala pokea maua yenu
Mlionyesha kuwa Dar unafaa kuwa mji mkuu
4. Mwanza
Akina Ngosha mlitisha MO29
Wanangu wa Kisesa, Igoma, BUZURUGA, Buhongwa, Mkuyuni mlitisha
Oyaa wanangu wa Mwanza hamna deni
5 Mbeya
Wanangu wa Green city kwao Sugu, Mwamnyange n. K
Mmedhihirisha kuwa Mbeya hatoki fala kuanzia Mwakaleli, Soweto, na maeneo mengine
Oyaa kilinuka sio poa
6. MARA
Wanangu wa Kanda maalum hamkukaa kizembe
Kilinuka sio kinyonge
Kwao Heche, Chacha, Mwita , Nyerere n k hongera kufanya mapinduzi wanangu wa Sirari, Tarime, Rorya, Msoma, Muhimu, Serengeti, n. K
Mbuya Mura
7, DODOMA
Watu majasiri haswa, wanangu wa Makao makuu mlifanya kazi sio kinyonge
Najua ugumu mliokutana nao but I appreciate
8. KAHAMA
Wanangu wa ardhi ya Almasi mlifanya kweli
Nawapa pole wapiganaji wengi waliolipa gharama hata ya uhai wao ili hiyo Almasi isiliwe na mafisadi tu
9 KATORO/ BUSERESERE
Ardhi ya Alfons mawazo hamkuwa nyuma MO29, Mtaandikwa majina yenu Kwa wino wa dhahabu
10 GEITA
Ngoshas wangu mlitisha mno
11. Iringa na Njombe
Asante sana wanangu wala mbwa mlitisha sana huko
Mmeshiriki katika ukombozi hatua ya kwanza
Tanga, Morogoro, Mtwara mna la kujifunza