Hiyo ndiyo protest ambayo haiwezi kumwaga damu! Tatizo vaccum ya uongozi kwa ccm na vile vile Vyama vya upinzani.Swali: katiba yetu inaruhusu maandamano?
Swali: inahitaji kundi liwe na kibali ili waandamane?
Swali: Swali, wiki moja kabla ya maandamano.... inawezekana wananchi ama Watanzania wakajichukulia mahitaji yao ya chakula nyumbani ya kutosha wiki nzima. Halafu siku ya tukio, hakuna mtu anatoka nje hata mifugo haifunguliwi bandani isipokuwa wagonjwa kuelekea hospitali. Wanaobaki wote wanaandamana kwa amani kwa kubaki majumbani. Wanafunzi hawaendi shule, barabara nyeupe hakuna bodaboda wala bajaji wala daladala. Nchi yote hakuna shughuli inayoendelea kwa wiki nzima zaidi ya hospitali. Je, maandamano ya namna hiyo nayo yanahitaji kibali?
Ama watafwatwa majumbani watoke nje ili nchi iendesheke...!!??
Mwenye kufahamu nisaidie majibu tafadhali.
Unafukuzwa ukikaa nje ya ofisi kwa siku tano mfululizo. Hivyo boycott ya siku 4 inatoshakibari cha kutokwenda kazini kitahusika kwa waajiriwa. hapo post no. 20
Basi, kaa kwa kutulia hapo sebuleni kwa shem.Ni bei ya waandamanaji pekee.
Machafuko kidogo yanapaswa kutokea, hii ni ishara ya hasira kwa watawala. Kwa mfano uchaguzi ni total haukufanyika. Watu waliwasusia na wakajitangaza washindi kwa 98%. Na sasa wanaitawala tena hii nchi kwa miaka mi5. Kuwawekea migomo hawa mbwa wanaweza kuendelea kukaza na mahitaji yako yakiisha utatoka nje kwa ajili ya kutafuta mwengine. Nyani hushuka mtini kwa njaa zake.Swali: katiba yetu inaruhusu maandamano?
Swali: inahitaji kundi liwe na kibali ili waandamane?
Swali: Swali, wiki moja kabla ya maandamano.... inawezekana wananchi ama Watanzania wakajichukulia mahitaji yao ya chakula nyumbani ya kutosha wiki nzima. Halafu siku ya tukio, hakuna mtu anatoka nje hata mifugo haifunguliwi bandani isipokuwa wagonjwa kuelekea hospitali. Wanaobaki wote wanaandamana kwa amani kwa kubaki majumbani. Wanafunzi hawaendi shule, barabara nyeupe hakuna bodaboda wala bajaji wala daladala. Nchi yote hakuna shughuli inayoendelea kwa wiki nzima zaidi ya hospitali. Je, maandamano ya namna hiyo nayo yanahitaji kibali?
Ama watafwatwa majumbani watoke nje ili nchi iendesheke...!!??
Mwenye kufahamu nisaidie majibu tafadhali.
Mi nimeshafukuzwa hapa🤦🏽♀️Unafukuzwa ukikaa nje ya ofisi kwa siku tano mfululizo. Hivyo boycott ya siku 4 inatosha
Hatari mzee siyo ya kusimuliwa niliingia shift ya usiku Daaah kulikuwa na wanywaranda walikuwa wanamimina moto Bara.WaGEITA walichelewa kuanza ila walikinukisha hatar
Nazan ndo sehemu ambacho machafuko yamedumu siku nyingi
Mochwari za Geita zilijaa,ikabid maiti zingine zipelekwe sengerema na mwanza
Ndiyo. Ibara 20(1) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 1977 inamtambua “uhuru wa mtu kukutana na watu wengine kwa hiari yake na kwa amani, … kuchanganyika na kushirikiana na watu wengine” — yaani haki ya mikutano na maandamano ya amani. Uhuru huo unaweza kuzuiwa tu kwa “masharti ya sheria za nchi” endapo udhibiti huo unahitajika kulinda usalama, amani, afya, maadili au haki za watu wengine.Swali: katiba yetu inaruhusu maandamano?
Kwenye maeneo ya UMMA (barabarani, viwanjani, n.k.) maandamano hufungwa na masharti ya Sheria ya Polisi na Huduma Saidizi (Police Force and Auxiliary Services Act, Cap. 322).Swali: inahitaji kundi liwe na kibali ili waandamane?
Swali: Swali, wiki moja kabla ya maandamano.... inawezekana wananchi ama Watanzania wakajichukulia mahitaji yao ya chakula nyumbani ya kutosha wiki nzima. Halafu siku ya tukio, hakuna mtu anatoka nje hata mifugo haifunguliwi bandani isipokuwa wagonjwa kuelekea hospitali. Wanaobaki wote wanaandamana kwa amani kwa kubaki majumbani. Wanafunzi hawaendi shule, barabara nyeupe hakuna bodaboda wala bajaji wala daladala. Nchi yote hakuna shughuli inayoendelea kwa wiki nzima zaidi ya hospitali. Je, maandamano ya namna hiyo nayo yanahitaji kibali?
Je, polisi wanaweza “kuwafuata majumbani” wawatoe ili nchi iendelee?Ama watafwatwa majumbani watoke nje ili nchi iendesheke...!!??
Wewe si bado unauziwa kilo 2000 sio?Mnakinukisha then mnafungiwa ndani, kisha kilo moja ya mchele mnauziana 5,000/=, kilo moja ya nyama mnauziana 15,000/= hadi 17,000/=, mnachoma vituo vya mafuta (sheli), mnapofunguliwa lita moja mnauziwa 5,000/= hadi 6,000/= na vile vituo mlivyoviacha salama.
Hao wa mgusu walikuwa na silaha zozote?Hatari mzee siyo ya kusimuliwa niliingia shift ya usiku Daaah kulikuwa na wanywaranda walikuwa wanamimina moto Bara.
Lakini watu wamepinda kama unavyojua ilikuwa afe panya afe paka.
Kuna watu walitoka mgusu asee wale jamaa nina uhakika ni wajeda walioasi walikuwa wanakinukisha sio poa. Niishie hapa
Waende kazini hawkuti wakuhufumiaUnafukuzwa ukikaa nje ya ofisi kwa siku tano mfululizo. Hivyo boycott ya siku 4 inatosha
Sio Yanga ni Tanga mkuu.Yanga, Morogoro, Mtwara mna la kujifunza