Mkoa upi ulikinukisha kisawa sawa, tupe top 5 yako

Chuga isingekua jeshi, mkoa wote ungewaka motooooo......ilikua balaaa sanaa
 
Reactions: apk
Kuna video moja jamaa kapigwa shaba ya juu kidogo ya shavu,yaan kila wakat namuwazia jamaa yaan sipati picha ni heri kama amepumzika maana mateso yake ni makubwa mno
Dah ase ya yule dogo wanamuuliza maswali mengi mtu anavuja damu hawezi kuongea.Hakika ni masikitiko maana kupona kwake napo shughuli.
 
Zipumzike kwa aman roho za mshujaa waliotutoka katika upambanaji wa demokrasia ya Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…