malele kinyama
Member
- Jul 25, 2019
- 8
- 2
Usiku zote mpakani kuna pesa ila uwe mjanjawakuu naomba mnisaidie Kati ya mikoa hii
kagera -Bukoba na
manyara Babati
mkoa upi unafaa kuanzisha maisha na biashara ndogo ndogo?
[emoji3][emoji3]Kupata pesa ni akili yako tu, hata chooni Kuna mavi na pesa pia IPO. Watu wanatajirika na public toilets
ok Una maanisha Bukoba mambo ni motoo pako vzuri?Usiku zote mpakani kuna pesa ila uwe mjanja
kwani wahaya wana nn mkuu au niishije nao?Nenda Bukoba .
Lakini Kwanza jifunze jinsi ya kuishi na wahaya.ukifanikiwa hapa utafanikiwa Sana
Maana Bukoba ni mpakani
wakuu naomba mnisaidie Kati ya mikoa hii
kagera -Bukoba na
manyara Babati
mkoa upi unafaa kuanzisha maisha na biashara ndogo ndogo?
asant kwa ushauriBukoba maji yapo ya kutosha ni suala la wewe tu kuamua utabatizwaje
Wengi wa watz wengi huwa wanajiona duni mbele ya wahaya na hufukiria wahaya uwadharau na kuwabagua hivyo ujiisi wanyonge wakiwa uhayan Jambo ambalo sio kweli.kwani wahaya wana nn mkuu au niishije nao?
Mkoa uliopakana na nchi nne kama kagera utakosaje muingiliano na watu?Nenda Babati kuna mwiingiliano mkubwa wa watu kuliko Bukoba
Uko umasikini umejaa na ushamba mwingi asiende ..ni Mara kumi babati manyara anaeza piga ela na kufaidi watoto wazuri wa kimbulu..Nenda Bukoba .
Lakini Kwanza jifunze jinsi ya kuishi na wahaya.ukifanikiwa hapa utafanikiwa Sana
Maana Bukoba ni mpakani
wakuu naomba mnisaidie Kati ya mikoa hii
kagera -Bukoba na
manyara Babati
mkoa upi unafaa kuanzisha maisha na biashara ndogo ndogo?
Usemalo ni kweli.Nimekaa bukoba,japo kwa miezi kadhaa,sijaona hata chembe ya hizo dharau.Sana sana niliwaona watu wakarimu sana,wenye staha na makini kwa binadamu wengne.Tofauti kabisa na jinsi nilivyoaminishwa kwa mda mrefu ama kupata hisia hizo wakiwa miji mingine.Wengi wa watz wengi huwa wanajiona duni mbele ya wahaya na hufukiria wahaya uwadharau na kuwabagua hivyo ujiisi wanyonge wakiwa uhayan Jambo ambalo sio kweli.
Ukifika uhayani Jenga urafiki na wahaya jifunze hata kihaya na wala husije ukawaponda hata siku moja .
Ukifanya hayo utafanikiwa Sana Bukoba ndo maana wanyarwanda na waganda wanafanikiwa Sana kagera kuliko watz Kwa sababu wanajua kuishi na wahaya
Kwa hiyo manyara sio washamba?Uko umasikini umejaa na ushamba mwingi asiende ..ni Mara kumi babati manyara anaeza piga ela na kufaidi watoto wazuri wa kimbulu..
Bukoba kunaUsemalo ni kweli.Nimekaa bukoba,japo kwa miezi kadhaa,sijaona hata chembe ya hizo dharau.Sana sana niliwaona watu wakarimu sana,wenye staha na makini kwa binadamu wengne.Tofauti kabisa na jinsi nilivyoaminishwa kwa mda mrefu ama kupata hisia hizo wakiwa miji mingine.
Niliona Bukoba pana mzunguko mzuri wa pesa na watu ni wa kujichangaya sana na wengine bila kadhia zinazofikiriwa,hata kidogo.
Babati si pa baya,ni njia kuu,hali ya hewa nzuri ila kwa mtazamo wangu,kibiashara hapafikii Bukoba.Japo kwa hakika itategemea
1.Biashara gani utafanya-kila sehemu ina fursa tofauti
2.Upeo wa mhusika kuifanya hiyo biashara kisawasawa kulingana na mazingira
3.Uwezo wa mhusika kujichanganya na wenyeji na ukakubalika...biashara yataka na kujuana
pia.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] [emoji3]Kupata pesa ni akili yako tu, hata chooni Kuna mavi na pesa pia IPO. Watu wanatajirika na public toilets