Mkoa upi unafaa kuanzisha maisha na biashara ndogo ndogo?

Joined
Jul 25, 2019
Posts
8
Reaction score
2
wakuu naomba mnisaidie Kati ya mikoa hii
kagera -Bukoba na
manyara Babati
mkoa upi unafaa kuanzisha maisha na biashara ndogo ndogo?
 
kwani wahaya wana nn mkuu au niishije nao?
Wengi wa watz wengi huwa wanajiona duni mbele ya wahaya na hufukiria wahaya uwadharau na kuwabagua hivyo ujiisi wanyonge wakiwa uhayan Jambo ambalo sio kweli.

Ukifika uhayani Jenga urafiki na wahaya jifunze hata kihaya na wala husije ukawaponda hata siku moja .

Ukifanya hayo utafanikiwa Sana Bukoba ndo maana wanyarwanda na waganda wanafanikiwa Sana kagera kuliko watz Kwa sababu wanajua kuishi na wahaya
 
Nenda Babati kuna mwiingiliano mkubwa wa watu kuliko Bukoba
Mkoa uliopakana na nchi nne kama kagera utakosaje muingiliano na watu?

Ndo maana hata matishio ya ebola kagera ndo uwa wa Kwanza na taadhari huwezi sikia sijui manyara.

Pia ndo mkoa wenye waamiaji wengi sana
 
Wengi wa watz wengi huwa wanajiona duni mbele ya wahaya na hufukiria wahaya uwadharau na kuwabagua hivyo ujiisi wanyonge wakiwa uhayan Jambo ambalo sio kweli.

Ukifika uhayani Jenga urafiki na wahaya jifunze hata kihaya na wala husije ukawaponda hata siku moja .

Ukifanya hayo utafanikiwa Sana Bukoba ndo maana wanyarwanda na waganda wanafanikiwa Sana kagera kuliko watz Kwa sababu wanajua kuishi na wahaya
Usemalo ni kweli.Nimekaa bukoba,japo kwa miezi kadhaa,sijaona hata chembe ya hizo dharau.Sana sana niliwaona watu wakarimu sana,wenye staha na makini kwa binadamu wengne.Tofauti kabisa na jinsi nilivyoaminishwa kwa mda mrefu ama kupata hisia hizo wakiwa miji mingine.
Niliona Bukoba pana mzunguko mzuri wa pesa na watu ni wa kujichangaya sana na wengine bila kadhia zinazofikiriwa,hata kidogo.
Babati si pa baya,ni njia kuu,hali ya hewa nzuri ila kwa mtazamo wangu,kibiashara hapafikii Bukoba.Japo kwa hakika itategemea
1.Biashara gani utafanya-kila sehemu ina fursa tofauti
2.Upeo,umahiri na weledi wa mhusika kuifanya hiyo biashara kisawasawa kulingana na mazingira
3.Uwezo wa mhusika kujichanganya na wenyeji na ukakubalika...biashara yataka na kujuana
pia.
 
Uko umasikini umejaa na ushamba mwingi asiende ..ni Mara kumi babati manyara anaeza piga ela na kufaidi watoto wazuri wa kimbulu..
Kwa hiyo manyara sio washamba?

Hiv na akili yako mchukue mtu wa manyara mmoja na mhaya moja wote waweke pamoja hiv Nani atakuwa wa mshamba? Kwa mmbulu atatapeliwa.

Watu wa Arusha sijui manyara mnajionaga wajanja wakati ni washamba wa kutisha nyie.

Mara Mie aende kagera mipakani huko

Kuhusu ngono hajakwambia anakwenda Kula watoto
 
Usemalo ni kweli.Nimekaa bukoba,japo kwa miezi kadhaa,sijaona hata chembe ya hizo dharau.Sana sana niliwaona watu wakarimu sana,wenye staha na makini kwa binadamu wengne.Tofauti kabisa na jinsi nilivyoaminishwa kwa mda mrefu ama kupata hisia hizo wakiwa miji mingine.
Niliona Bukoba pana mzunguko mzuri wa pesa na watu ni wa kujichangaya sana na wengine bila kadhia zinazofikiriwa,hata kidogo.
Babati si pa baya,ni njia kuu,hali ya hewa nzuri ila kwa mtazamo wangu,kibiashara hapafikii Bukoba.Japo kwa hakika itategemea
1.Biashara gani utafanya-kila sehemu ina fursa tofauti
2.Upeo wa mhusika kuifanya hiyo biashara kisawasawa kulingana na mazingira
3.Uwezo wa mhusika kujichanganya na wenyeji na ukakubalika...biashara yataka na kujuana
pia.
Bukoba kuna
Uvuvi ziwani.watu wengi wametajirika hapa kama tajiri kareju mmiliki wa kemebos na kaizirege.
Ardhi nzr ya kilimo yaani mvua mwaka mzima.

Hali ya hewa nzr

Na biashara za mpakani hasa mtukula .
 
Back
Top Bottom