Mkoa wa CHATO wazaa mgogoro wa kiutawala, kikabila na kielimu

Mkoa wa CHATO wazaa mgogoro wa kiutawala, kikabila na kielimu

likewise Kuna ulazima Gani wa kuunda Mkoa masikini kiasi kile unaoitwa Chato?! Watu hawajiwezi, hawana Elimu, hawana raslimali, uchumi Duni, kwani ukiunda Mkoa ndio utabadilisha Hali hiyo au ni kuongeza gharama za Utawala tu! Nonsense.
Sasa kama wewe mwenyewe unasema hawajiwezi, hawana elimu, uchumi duni huoni ni wakati muafaka sasa wapewe mkoa ili kuwapelekea huduma kama hizo za muhimu jirani?

Wakiwa na mkoa watapewa kipaumbele kwenye hayo uliyoyasema maana watakua na gungu na bajeti kama mkoa.

Kuwapa hadhi ya mkoa ni njia mojawapo ya kuwasogesea huruma za kijamii katibu yao ili waondokane ama kupunguza huo umasikini, ujinga, elimu nk.

Mimi nashindwa kuelewa kwa watu wanatumia nguvu nyingi kupinga Chato isipewe mkoa, ni chuki binafsi tu hakuna kingine. Kwani wakipewa mkoa wanakua raia wa nchi nyingine? Ama wakipewa mkoa ghafla Chato itakua New York? Hakuna sababu kabisa.

Leo hata wakisema wanagawanya mkoa wa Dar ama Arusha ama Singida iwe mikoa 2 watu wanaumia nini?
 
Back
Top Bottom