Mkoa wa Geita naufananisha na mji wa Gotham kwa matukio

Mkoa wa Geita naufananisha na mji wa Gotham kwa matukio

Ruble

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2013
Posts
845
Reaction score
1,579
Kila uchwao huu mkoa una matukio. Kulikoni wasukuma wa Geita? Mbona wasukuma wa Kahama hakuna shida na ndiyo kuna machimbo. Husikii matukio. Wasukuma wa Kahama wamestaarabika hawana shida.

Tatizo nini kwa wasukuma wa Geita? Inakua kama Mbeya ya zamani kule Mbozi.
 
Sasa kama wabunge wao kina musukuma wako vile, wananchi wao watakuaje? Mkoa haukauki kutajwa kwenye media. Hata kama kamanda wa polisi wa mkoa huo hajulikani anaitwa nani atajulikana tu kwa kutoa ripoti za matukio mara kwa mara
 
Kila uchwao huu mkoa una matukio. Kulikoni wasukuma wa Geita? Mbona wasukuma wa Kahama hakuna shida na ndiyo kuna machimbo. Husikii matukio. Wasukuma wa Kahama wamestaarabika hawana shida.
Tatizo nini kwa wasukuma wa Geita? Inakua kama Mbeya ya zamani kule Mbozi.
Huko ndio alikozaliwa mwendazake?
Kama ni huko sawa kabisa SI Kwa kiburi na ukatili ule
 
Me nadhani sasa ni wakati muafaka kabisa apatikane Batman wa huko.
 
ITV kila saa mbili usiku wana kipindi cha taarifa ya habari za geita
 
Back
Top Bottom