Huko ndio alikozaliwa mwendazake?Kila uchwao huu mkoa una matukio. Kulikoni wasukuma wa Geita? Mbona wasukuma wa Kahama hakuna shida na ndiyo kuna machimbo. Husikii matukio. Wasukuma wa Kahama wamestaarabika hawana shida.
Tatizo nini kwa wasukuma wa Geita? Inakua kama Mbeya ya zamani kule Mbozi.
Wakati wa JPM na IGP SIRRO Mbona kulikuwa sawa?
Shida kuna Mzanzibari haelewi anachokifanya.
Hata mikoa zaidi ya 30 kumpatia saa100 kuiongoza nimeanza kuona tumepotea.YANI MKOA WA GEITA UNAPELEKA RPC NA OCD MWANAMKE KWELI???
Watanganyika wasichokielewa ni kwamba saa100 Hata umpatie cheo cha ukuu wa mkoa wa Manyara hawezi.YANI MKOA WA GEITA UNAPELEKA RPC NA OCD MWANAMKE KWELI???
Hawa jamaa wangekua na nguvu nchi hii tungeteseka. Wana silka ya ukatili wa kujificha anakua kama anakuchekea huku anakuua taratibu.Wasukuma wamestaarabika lini