Mkoa wa Geita wavunja rekodi,wagombea ubunge wawili ni wahitimu wa darasa la saba B

Mkoa wa Geita wavunja rekodi,wagombea ubunge wawili ni wahitimu wa darasa la saba B

mdukuzi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
22,345
Reaction score
56,148
Geita vijijini bwana Joseph Kasheku almaarufu msukuma ni mhitimu wa darasala saba B huko Nzera

Chato Kusini, Pascal Lutandula mhitimu wa Igando primary school Darasa la saba B

Pia elimu ya Mbunge wa Geita mjini bwana Chacha Wambura aka Waja

Huko Geita kuwa mbunge wanaangalia noti tu
 
Uwe unafanya Tafiti kabla ya kuandika , Mgombea ubunge Geita Mjini ni Eng Chacha Wambura .Lakini pia utendaji kazi na uzalendo ndio una hitajika zaidi .
Geita vijijini bwana Joseph Kasheku almaarufu msukuma ni mhitimu wa darasala sabaB huko Nzera

Chato kusini,Pascal Lutandula mhitimu wa Igando primary school Darasa la saba B

Piaelimu ya Mbunge waGeita mjini,mmiliki wa waja Schools inafuatiliwa kwa karibu

Huko Geita kuwa mbunge wanaangalia noti tu
 
Geita vijijini bwana Joseph Kasheku almaarufu msukuma ni mhitimu wa darasala sabaB huko Nzera

Chato kusini,Pascal Lutandula mhitimu wa Igando primary school Darasa la saba B

Piaelimu ya Mbunge waGeita mjini,mmiliki wa waja Schools inafuatiliwa kwa karibu

Huko Geita kuwa mbunge wanaangalia noti tu
Wasomi wamewaangusha wapigakura wao for too long! Acha sasa wasomi watumie huo usomi wao kujiajiri.
 
Back
Top Bottom