Mzee Kimamingo
JF-Expert Member
- Mar 31, 2024
- 2,293
- 5,418
Pesa na ushirikina ukiwa navo basi Geita ushatoboa ubunge.Geita vijijini bwana Joseph Kasheku almaarufu msukuma ni mhitimu wa darasala sabaB huko Nzera
Chato kusini,Pascal Lutandula mhitimu wa Igando primary school Darasa la saba B
Piaelimu ya Mbunge waGeita mjini,bwanaChacha Wambura aka Waja
Huko Geita kuwa mbunge wanaangalia noti tu
Elimu kule hawana mpango nayo