Watu wamekariri mkuuIla nyie watu 😃😃😃, hawa wasomi na usomi wao wanatufanyia nini?
Geita vijijini bwana Joseph Kasheku almaarufu msukuma ni mhitimu wa darasala sabaB huko Nzera
Chato kusini,Pascal Lutandula mhitimu wa Igando primary school Darasa la saba B
Piaelimu ya Mbunge waGeita mjini,mmiliki wa waja Schools inafuatiliwa kwa karibu
Huko Geita kuwa mbunge wanaangalia noti tu
Umeniandikia🙏Majimbo yanayoongozwa na maprofesa yana maajabu gani?
Wasomi wamewaangusha wapigakura wao for too long! Acha sasa wasomi watumie huo usomi wao kujiajiri.Geita vijijini bwana Joseph Kasheku almaarufu msukuma ni mhitimu wa darasala sabaB huko Nzera
Chato kusini,Pascal Lutandula mhitimu wa Igando primary school Darasa la saba B
Piaelimu ya Mbunge waGeita mjini,mmiliki wa waja Schools inafuatiliwa kwa karibu
Huko Geita kuwa mbunge wanaangalia noti tu
Wanabidi wakakate mkaaWasomi wamewaangusha wapigakura wao for too long! Acha sasa wasomi watumie huo usomi wao kujiajiri.
Mkuu upooo😆Ubunge kupitia Chamani.
Kuwa na
1. Pesa
2. kuwa Chawa
3. ...
Wasomi wamewaangusha wapigakura wao for too long! Acha sasa wasomi watumie huo usomi wao kujiajiri.
Chacha Wambura ndio huyo mmiliki wa waja school
Geita vijijini,msukuma
Chato kusini,Lutandula
Uko sahihiChacha Wambura ndio huyo mmiliki wa waja school
Geita vijijini,msukuma
Chato kusini,Lutandula