Mzee Kimamingo
JF-Expert Member
- Mar 31, 2024
- 2,293
- 5,418
Pesa na ushirikina ukiwa navo basi Geita ushatoboa ubunge.Geita vijijini bwana Joseph Kasheku almaarufu msukuma ni mhitimu wa darasala sabaB huko Nzera
Chato kusini,Pascal Lutandula mhitimu wa Igando primary school Darasa la saba B
Piaelimu ya Mbunge waGeita mjini,bwanaChacha Wambura aka Waja
Huko Geita kuwa mbunge wanaangalia noti tu
Wengi tu. Tafuta pesa mkuu, unaweza kumpa doctor kazi ya kufagia mbele ya baraza ya nyumba yako.Kama profesa yupi huyo?Kitila au Palamagamba?
Musukuma hivi si ni PhD holder eeh?Geita vijijini bwana Joseph Kasheku almaarufu msukuma ni mhitimu wa darasala sabaB huko Nzera
Chato kusini,Pascal Lutandula mhitimu wa Igando primary school Darasa la saba B
Piaelimu ya Mbunge waGeita mjini,bwanaChacha Wambura aka Waja
Huko Geita kuwa mbunge wanaangalia noti tu
Atakuwa profesa mwehu huyo.Ndiyo hapo huwa wanataka wabatizwe ni maprofesa wenye "professorial rubbish"!Wengi tu. Tafuta pesa mkuu, unaweza kumpa doctor kazi ya kufagia mbele ya baraza ya nyumba yako.
PhD yake alitunukiwa Gambosh.Musukuma hivi si ni PhD holder eeh?
Wanaenda kukutungia sheria na kuisimamia serikali.Mola atuhurumie sana.Ni hatari sana kupeleka watu wenye elimu ndogo bungeni
Kwasababu ya huo unyanyapaaTatizo lenu mnajidai hamtaki usomi ila cha ajabu tukiwapa tu ubunge mnaenda kuununua udaktari UDOM.
Mkitupa nchi sisi tusiosoma hatutoingia mikata yyt ambayo inaletwa kwa lugha tusiyoijuaMimi naona hawa ambao hawajasoma wanapitisha mikataba na kuisaini bila kujua kilichoandikwa humo.
Kwa wanayofanya maprof na Doctors pale Bungeni ni bora kuweka hata Mbwa walau angebwekea ujunga ule!Geita vijijini bwana Joseph Kasheku almaarufu msukuma ni mhitimu wa darasala sabaB huko Nzera
Chato kusini,Pascal Lutandula mhitimu wa Igando primary school Darasa la saba B
Piaelimu ya Mbunge waGeita mjini,bwanaChacha Wambura aka Waja
Huko Geita kuwa mbunge wanaangalia noti tu
Tafuta pesa mkuu, hata hizi kejeli zako utajikuta unazisahau.Kama profesa yupi huyo?Kitila au Palamagamba?
Kuna kipindi walimtunuku PhD sijui IndiaPhD yake alitunukiwa Gambosh.
Mimi naona hawa ambao hawajasoma wanapitisha mikataba na kuisaini bila kujua kilichoandikwa humo.
Hizo pesa zifikie dola ngapi?Tafuta pesa mkuu, hata hizi kejeli zako utajikuta unazisahau.
Nipo aisee, japo nimekuwa msomaji sana kuliko kutia nenoMkuu upooo[emoji38]