Mkoa wa Iringa utolewe Nyanda za Juu Kusini na kupelekwa Kanda ya Kati iwe Pamoja na Dodoma na Singida

Na zaid njombe inaingiliana both na mbeya pamoja na Ruvuma.
Yaa yaani Utadhani Njombe haikumegwa kutoka Iringa.
Ni kama vile Katavi(Mpanda) ilitoka Rukwa ila Mpanda Ina maingiliano makubwa na Tabora kuliko Sumbawanga/Rukwa..

Rukwa nayo Ina maingiliano makubwa na Mbeya
 
Habari mkuu, serikali ipo mchakatoni na hilo, nilisikia kuanzishwa kwa kanda ya kati ambayo itakua na mikoa ya singida Iringa dodoma na Babati kama sikosei.
Walitoa Manyara ,Kanda ya Kaskazini itabakiwa na Mikoa ipi? Maana Tanga kiuhalisia inatakiwa kuwa Pwani ila inalazimishiwa kuwa Kanda ya Kaskazini.

Manyara iachwe Kanda ya Kaskazini ndiko wanafanana kijamii.
 
Nilivoona baadhi ya maeneo ya dodoma yana wahehe ni sawa kabisa iringa iende kanda ya kati ili kubalance kanda ile iwe na mikoa mitatu, kiutawala itakaa vizuri zaidi ili nyanda za juu kusini iwe na mikoa mitatu pia yaani njombe, mbeya na ruvuma
 
Habari mkuu, serikali ipo mchakatoni na hilo, nilisikia kuanzishwa kwa kanda ya kati ambayo itakua na mikoa ya singida Iringa dodoma na Babati kama sikosei.
Mkoa wa Babati umeanzishwa lin
 
Mimi Fall Army Worm km Mwana nyanda za juu kusini,ninalikataa wazo lako.Hoja zako ni dhaifu mno.
 
Acha upuuzi,hata ukibisha Iringa imeegemea Dodoma kuliko Mikoa ya Nyanda za Juu Kusini
Kigoma imeegemea sana DRC na Burundi,halikadhalika Wilaya ya Misenyi imeegemea sana Uganda,Wilaya ya Ngara imeegemea sana Burundi na kidogo Rwanda,Vipi sehemu tuzihamishie nchi jirani?.
 
Tuwape waarabu tender ya kuubeba na kuuhamisha.
 
Kama kiongozi wa uhehe kwanza NAPINGA. Pili, tukifikia hatua mimi kukaa kanda moja na MWIGULU L NCHEMBA Basi nahamia mbeya. By the way wagogo ni ndugu zetu tena wa damu.
 
Hapana wale omba omba waendelee kukaa wenyewe ukiwachanganya na wachapakazi watawaambukiza uvivu, Acha waendelee kulelewa na serikali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…