Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu unakijua kimpumu?Atakuwa kalewa kimpumu huyu mwamba
Kanywa ulanzi wa Iringa umemchemshaUmekunywa bia gani leo?
Nimeona umejitahidi sanaa kutuaminisha, ila maoni yangu ni Big No...mfano sababu yako ya 4, yaan iringa iitegemee Dodoma kwa mahitaji yake ? Are you serious ? Yaan limkoa kama iringa ivi lina zalisha tons za mahindi +alizeti +nyanya na mazao mengine kibao ...Mikoa 26 ya Tanzania Bara imegawanywa kwenye Kanda 7 za Kiutawala.
Mkoa wa Iringa Kwa Sasa uko Kanda ya Nyanda za Juu Kusini.
Ingefaa Kwa Serikali kuiondoa Iringa Nyanda za Juu Kusini na kuihamishia Kanda ya Kati Kwa sababu zifuatazo
1.Sababu za Kijiografia.
Mkoa wa Iringa u ko jirani na Dodoma Makao Makuu ya Nchi na Kanda ya Kati kuliko Mbeya(Makao Makuu ya Nyanda za Juu Kusini).
Kutoka Iringa Hadi Dodoma ni km 260 vs Iringa Mbeya km 350.As we speak Iringa na Dodoma Ina Muingiliano mkubwa wa Watu via usafiri kuliko Iringa na Mbeya,so ni sahihi Kwa Iringa kuwa included Central Zone.
2.Sababu za Kijamii(Muingiliano wa Kikabila)
Kabila la Wagogo ambao ndio kabila kuu la Mkoa wa Dodoma pia linapatikana Kwa Baadhi ya maeneo ya Iringa hasa Wilaya ya Iringa hivyo Muingiliano wa Kijamii na Kitamaduni ni mkubwa baina ya Iringa na Dodoma kuliko Iringa na Mbeya..Aidha Kabila la Wahehe pia wapo Dodoma..
3.Sababu za Kimazingira.
Iringa Ina Haki ya hewa ya semi -Arid (Nusu jangwa) sawa sawa kabisa na hali ya Dodoma au Kanda ya Kati kiukumla.
Ukitoa Wilaya ya Mufindi na Baadhi ya maeneo ya Kilolo ,Iringa yote ni Semi Arid..
4.Sababu ya Kiuchumi/Biashara na Kijamii.
Mkoa wa Iringa unategemea Huduma zake nyingi kutoka Dodoma na Dar lakini sio Mbeya kutokana na kuwa jirani na Dodoma..
Sasa Kwa sababu hizo ni Wazi Iringa inafaa iwe Kanda ya Kati badala ya kuwa Nyanda za Juu.
Kwenye Mikoa ya Nyanda za Juu Kusini ni Iringa Pekee ambako unaweza Kuta nyumba za udongo na nyasi ambazo zinapatikana Kwa wingi Dodoma,Singida na maeneo ya Kanda ya Ziwa na Pwani huko..View attachment 2657397
Wewe ndio una shida kubwa sana ,Kwa hiyo Serikali Inajenga logistics centre pale Dom ya bidhaa mbalimbali,Kwamba mtaacha kwenda kujumua mzigo utakaoletwa na Sgr badala yake mtasafiri km 500 kwenda Dar kujumua the same mzigo?Nimeona umejitahidi sanaa kutuaminisha, ila maoni yangu ni Big No...mfano sababu yako ya 4, yaan iringa iitegemee Dodoma kwa mahitaji yake ? Are you serious ? Yaan limkoa kama iringa ivi lina zalisha tons za mahindi +alizeti +nyanya na mazao mengine kibao ...
Ww kwa taaluma yako unafikiri mziho utakao safirishwa na sgr charges zake ni sawa na mzigo jtakao safiri na roli ?Wewe ndio una shida kubwa sana ,Kwa hiyo Serikali Inajenga logistics centre pale Dom ya bidhaa mbalimbali,Kwamba mtaacha kwenda kujumua mzigo utakaoletwa na Sgr badala yake mtasafiri km 500 kwenda Dar kujumua the same mzigo?
Hata Sasa Iringa inategemea Dom Kwa bidhaa kibao kama soko la mbao,mahindi ya Kibaigwa,soko la nyanya za Iringa ,Huduma za Afya yaani hospital ya Kanda Benjamin Mkapa nk nk..
Ni hivi Iringa Haina faida kwepo Nyanda za Juu Kusini Kwa sababu hatuna maingiliano makubwa,yaani gar za Njombe-Mbeya,Njombe-Songwa ni nyingi kuliko Njombe-Iringa..
Kwa upande mwingine ukienda Iringa hata saa 4 unapata Costa za Dom ndio kusema Iringa inahusiaja zaidi na Dodoma kuliko Mikoa yetu.
Sasa hata hili huelewi? Hili ni la kuuliza? Hujawahi sikia kwamba gharama za usafiri zitashuka by half Kwa kutumia reli badala ya Malori?Ww kwa taaluma yako unafikiri mziho utakao safirishwa na sgr charges zake ni sawa na mzigo jtakao safiri na roli ?
Tokeni bwana Nendeni Kwa ndugu zenu Wagogonimechoka mim sion chakuandika ata
Kwani Kuna nini?Hivi ludewa kuna shida gani
Kama ilivyo kwingineAlafu iweje mkuu!?
Kama unafikiri ivyo andika Zero ... Yaan investment ya sgr bei yake eti iwe nafuu ? Never ever.... Ungefuatilia tu zile bei ziliO pendekezwa na TRC ndio akili yako ijionhezee je kwa cargo itakuwaje ?Sasa hata hili huelewi? Hili ni la kuuliza? Hujawahi sikia kwamba gharama za usafiri zitashuka by half Kwa kutumia reli badala ya Malori?