Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kibena kinafanana na kiheheWahehe na Wakinga au Wabena wanaongea lugha Moja ipi?
Kenge huyo anataka wafundishwe kigogo kisa yeye mgogo watu wanatokomeza ukabila yeye anakuza jinga kubwa hiliHasara wanayopata wana Iringa kuwa nyanda za juu kusini ni ipi?
Faida watakayopata wana Iringa wakihamia kanda ya Kati ni ipi?
Kutoka iringa kwenda Dom unakuwa unashuka mpaka unaikuta mtera dam, ndio level moja mpaka DomKwani unavyotoka Iringa au Morogoro kuitafuta Dodoma unashuka au unapanda?
Kilimanjaro na Arusha zinaweza kuwa nyanda za juu,ila sio za juu "kusini".Kama issue ni Milima basi Morogoro au Kilimanjaro au Arusha zote zingekuwa Nyanda za Juu..
Nakwambia Muingiliano wa Kijamii ni mkubwa Dom kuliko Mikoa ya Nyanda za Juu Kusini..
Watu wa Iringa vipi mnakataa ndugu zenu? Nendeni Dom huko
Sasa kama ni ishu ya kuin,Iringa haipo Kusini bali central ,kwani hujaona ramani?Kilimanjaro na Arusha zinaweza kuwa nyanda za juu,ila sio za juu "kusini".
Hapa tunaongelea nyanda za juu kusini
Kwa hiyo Iringa sio Semi Arid si ndio? Kwamba apart from Mafinga kwingine huko kumejaa ukame ndio maana mumejenga vijumba vya udongo everywhere kama Dom tuu..Namba 3 naipinga
Naunga mkono hoja. Nyanda za juu kusini inajumuisha Rukwa. Sisi Iringa Mkutano ukianyika Sumbawanga tunatembea umbali wa km zaidi ya 700 kufika.Kwa nini mkuu,ni Ushauri tuu
Itasaidia nini labda iwekwe kati ya Emirates za Arab tena iwe imeungana na DubaiMikoa 26 ya Tanzania Bara imegawanywa kwenye Kanda 7 za Kiutawala.
Mkoa wa Iringa Kwa Sasa uko Kanda ya Nyanda za Juu Kusini.
Ingefaa Kwa Serikali kuiondoa Iringa Nyanda za Juu Kusini na kuihamishia Kanda ya Kati Kwa sababu zifuatazo
1.Sababu za Kijiografia.
Mkoa wa Iringa u ko jirani na Dodoma Makao Makuu ya Nchi na Kanda ya Kati kuliko Mbeya(Makao Makuu ya Nyanda za Juu Kusini).
Kutoka Iringa Hadi Dodoma ni km 260 vs Iringa Mbeya km 350.As we speak Iringa na Dodoma Ina Muingiliano mkubwa wa Watu via usafiri kuliko Iringa na Mbeya,so ni sahihi Kwa Iringa kuwa included Central Zone.
2.Sababu za Kijamii(Muingiliano wa Kikabila)
Kabila la Wagogo ambao ndio kabila kuu la Mkoa wa Dodoma pia linapatikana Kwa Baadhi ya maeneo ya Iringa hasa Wilaya ya Iringa hivyo Muingiliano wa Kijamii na Kitamaduni ni mkubwa baina ya Iringa na Dodoma kuliko Iringa na Mbeya..Aidha Kabila la Wahehe pia wapo Dodoma..
3.Sababu za Kimazingira.
Iringa Ina Haki ya hewa ya semi -Arid (Nusu jangwa) sawa sawa kabisa na hali ya Dodoma au Kanda ya Kati kiukumla.
Ukitoa Wilaya ya Mufindi na Baadhi ya maeneo ya Kilolo ,Iringa yote ni Semi Arid..
4.Sababu ya Kiuchumi/Biashara na Kijamii.
Mkoa wa Iringa unategemea Huduma zake nyingi kutoka Dodoma na Dar lakini sio Mbeya kutokana na kuwa jirani na Dodoma..
Sasa Kwa sababu hizo ni Wazi Iringa inafaa iwe Kanda ya Kati badala ya kuwa Nyanda za Juu.
Kwenye Mikoa ya Nyanda za Juu Kusini ni Iringa Pekee ambako unaweza Kuta nyumba za udongo na nyasi ambazo zinapatikana Kwa wingi Dodoma,Singida na maeneo ya Kanda ya Ziwa na Pwani huko..View attachment 2657397
Kwani Kwa Sasa ambavyo Kuna Kanda 7 inasaidia nini?Itasaidia nini labda iwekwe kati ya Emirates za Arab tena iwe imeungana na Dubai
Boya wewe hakuna kitu unajuaRuti za Mbeya Iringa ni nyingi mara 4 ya Dodoma Iringa
Na ulevi 😂😂Wahehe wenyewe vichaa karibu woote
Au iwekwe kwenyeKwani Kwa Sasa ambavyo Kuna Kanda 7 inasaidia nini?