Mkoa wa Kigoma ukatili waongezeka, "Madanga" kutoka Congo DRC na Burundi waingia Kasulu

Nilipoona tu "ukatili wa kijinsia" nkajua lazima uitaje MARA.

Horrible....!!
 
Nyani haoni kundule, kuwananga wenzenu ndiyo maana ya "hapa kazi tu?" Watanzania hatuwezi endelea kwa matazamo wa hovyo kama huu.

Sent from my TECNO LA6 using JamiiForums mobile app
 
mtoto ni asset ya mzazi, wacheni wazazi wawazoeshe watoto wao kazi hususani kilimo wangali bado wadogo, ilikusudi kwa miaka ijayo na ya baadaye wawe wakulima bora na wasio tegemezi "practise makes perfect"
Hao wanaotaka watoto wakasome wasiwapangie watoto na wazazi wao, kwani hawajawazaa, yawapasa wapambane na watoto wao, waache watoto wa watu wafanye kazi.
Wasomi wengi wapo mtaani na ni tegemezi, wasomi hao hao wanaambiwa wakalime, wasomi hao hao wanaambiwa wajiajiri, na Elim walioipata ni ya nadharia(theory) sio ya vitendo (practical) hivyo kutokana na mfumo mbovu wa elim ya Tz wanashindwa yote hayo wanayoambiwa wayafanye then wanaishia kuwa tegemezi na matapeli.
Mwisho; wawaache hao watoto waendelee kulima na kufanya kazi nyingine za maendeleo ktk jamii kwani hii huwanoa watoto mapema katika masuala ya kujiajiri na kujitegemea, mara tu wafikishapo umri wa mwanafunzi wa chuo huwa ni watu waliopiga hatua ya kimaendeleo ktk jamii na wengi wao hujitegemea mapema wangali wadogo na wakiwa na stadi nyingi na kubwa za maisha ktk jamii tofauti na hawa wa vyuoni waliopelekeshwa na serikali kusoma huku ikitambua kabisa ajira ni changamoto.
 
Kuwepo pembezoni napo kumechangia kusahaulika...
 
Kwa sehemu na kuunga mkono ukipiga hesabu ya gharama ya masomo hasa kwa shule hizi zinazoitwa za kisasa za kulipia,za binafisi ni bila maandalizi ya mzazi kumuwezesha tena baada ya kupata elimu aweze kujiajiri ni hasara tupu.

Fikiria mtoto anaanza shule ya swali inalipa ada 2000000× miaka 3shule ya awali,miaka7ya msingi ,miaka 6sekondari
Miaka 3ya chuo jumla 19.

Fanya 19×2,000,000=38,000,000/=

Akimaliza anakuja kukaa nyumbani.


Sasa kwa pesa hizi si bora umpeleke shule ya serikali akasome afute ujinga huku anaenda kufanya mazoezi ya shamba akimaliza anakuwa mkulima mzuri .
Hao wanaowapeleka shamba kuna kitu wamegundua.wasibezwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…