Mlaleo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2011
- 14,809
- 11,825
Ndio habari nakupatia umetoaka elimu so elimika achana na ujinga.Acha historia fake za Kinyangwine wewee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio habari nakupatia umetoaka elimu so elimika achana na ujinga.Acha historia fake za Kinyangwine wewee
Kukaa miaka 30 sehemu si kwamba ati unaijua sehemu izuri na historia yake kama huulizi pengine unashinda vijiwe vya kusambaza upendo wa Mbege...Huna unalolijua wewe kaa kimya mm nmekaa moshi zaidi ya 30 na nmefanya tafiti we endelea kuleta hadithi za babu zako huku
Vipi wewe unatumia Biblia au Koran?Naona unatumia kitabu cha Prof Kimambo nilichoeleza awali yakuwa ni full of partsanship
Hakuna lolote juu ya ichi ukisemacho utofaut wao haimanish kuwa wao sio wapare
Ndio mana mgweno au msangi popote pale akienda lazma atasema yeye ni mpare na sio msangi wala mgweno
Kweli kabisa, watu wa huko wengi hujitambulisha kama wapare, kisha huulizana wewe ni mpare wa wapi, usangi, ugweno au same...... sijajua lengo la jamaa ni lipi????
Samaki si kitu, kitu ni mchizi[emoji2] [emoji2] [emoji2]Thamaki thi kindo, kindo nyi mthombe.
Mbona baadhi ya koo ulizotaja si za Kigweno? Kwa mfano Mbaga, ni Wapare wa Same.
Ukoo maarufu kwa Wagweno ni Msuya
Hakuna mpare wa Ugweno sasa na wale wanaoitwa Temba, Kimario, Kimaro na ni native wa pale waseme ni wachaga wa Ugweno.
Bila shaka huu uzi nmekosea kuuleta jf mana jf ya sasa na ya miaka ya nyuma ni tofauti yani critical thinkers hamna wanasikiliza na kuongea ya vijiweni tu.
Kwanza ukiwa JF usiwe na hasira, simamia hoja, pili usijifanye unajua sana kuliko mtu mwingine na kuona wengine ni vihiyo
Haya sasa, kwa hiyo unataka kuniambia wamachame, wakibosho nk ni makabila yanayojitegemea na si wachaga? je, wasangi ni wapare ama "wasangi" kama ulivyowatenga wagweno?
Shukran sana ndugu yangu umenena machache yenye maana kubwa sana mungu akuongozee kwa iman yanguKwanza ukiwa JF usiwe na hasira, simamia hoja, pili usijifanye unajua sana kuliko mtu mwingine na kuona wengine ni vihiyo
Haya sasa, kwa hiyo unataka kuniambia wamachame, wakibosho nk ni makabila yanayojitegemea na si wachaga? je, wasangi ni wapare ama "wasangi" kama ulivyowatenga wagweno?
So upo kiubishani wa kimpira mpira tu enhKama hakumbuki fresh kaa kimya mana hayo yote unayoyazungumza ninayo ila sitaki kuyatumia kwa sababu ya partsanship
Na MinjaWapo hata Wagweno wanaitwa Temba