Mkoa wa Kilimanjaro una makabila matatu na sio mawili

Ukitumia point hiyo hakuna kabila la wachaga, kwasababu warombo na wamachame lugha zao haziendani kabisa still ni kabila moja

Kwa hiyo hata wagweno na wapare ni kabila moja sababu tamaduni zao zinafanana sana. Kwa hiyo kigweno ni dialect ya kipare
 
Mimi nimekaaa Kilimanjaro zaidi ya miaka 20 mleta thread aaache uongo bana,

Wagweno ndo hao hao wapare sema tuu
Kuna watu wanachukia makabila yao kutokana na sifa zao,

Kwa kifupi wagweno ni wapare sema tuu hawapendagi kuitwa wapare

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ni ramani ya makabila ya Tanganyika ya mwaka 1956.

Kilimanjaro kabila la 3 ni waKahe, sio waGweno. Sasa hao waGweno wameibuka lini?
 

Attachments

  • Makabila ya Tanzania (1956).jpg
    79.1 KB · Views: 8
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…