Mkoa wa Kilimanjaro waachwa mbali kwa utajiri na Mkoa wa Shinyanga

Mkoa wa Kilimanjaro waachwa mbali kwa utajiri na Mkoa wa Shinyanga

Kiturilo

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2021
Posts
708
Reaction score
2,859
Utajiri wa mikoa ya Tanzania kwa kuangalia pato la mkoa mmoja mmoja (Regional GDP)

1. Dar es Salaam - sh 25.2 Trillion
2. Mwanza - sh 10.95 Trillion
3. Mbeya - sh 8.3 Trillion
4. Shinyanga - sh 7.589 Trillion
5. Morogoro - sh 7.1 Trillion
6. Tanga - sh 6.9 Trillion
7. Arusha - sh 6.9 Trillion
8. Geita - sh 6.6 Trillion
9. Kilimanjaro - sh 6.6 Trillion
10. Ruvuma - sh 5.6 Trillion
11. Tabora - sh 5.4 Trillion
12. Mara - sh 5.4 Trillion
13. Manyara - sh 4.97 Trillion
14. Dodoma - sh 4.6 Trillion
15. Iringa - sh 4.6 Trillion
16. Kigoma - sh 4.14 Trillion
17. Mtwara - sh 4 Trillion
18. Kagera - sh 3.78 Trillion
19. Rukwa - sh 3.1 Trillion
20. Pwani - sh 2.98 Trillion
21. Lindi - sh 2.95 Trillion
22. Singida - sh 2.7 Trillion
23. Songwe - sh 2.7 Trillion
24. Njombe - sh 2.6 Trillion
25. Katavi - sh 1.99 Trillion
 
Sasa GDP kubwa kwenye mkoa wenye watu wengi ina faida gani? Bado Shinyanga ni masikini sana sababu ya wingi wa watu wakati Kilimanjaro hakuna umasikini kama Shinyanga
Shinyanga inaweza kubwa masikini lakini huwezi kusema inaumasikini wa hali ya kuibeza ukilinganisha na kilimanjaro!
 
Misifa yote kumbe hamna kitu
Shinyanga watu wanaijua ila ujue ukiongelea shinyanga unaongelea kahama! Lakini pia Kilimanjaro utajiri wake ulishakuwa chini baada ya zao la kahawa kudorora! Lakini shinyanga inabebwa na dhahabu na nafaka!
 
Utajiri wa mikoa ya Tanzania kwa kuangalia pato la mkoa mmoja mmoja (Regional GDP)

1. Dar es Salaam - sh 25.2 Trillion
2. Mwanza - sh 10.95 Trillion
3. Mbeya - sh 8.3 Trillion
4. Shinyanga - sh 7.589 Trillion
5. Morogoro - sh 7.1 Trillion
6. Tanga - sh 6.9 Trillion
7. Arusha - sh 6.9 Trillion
8. Geita - sh 6.6 Trillion
9. Kilimanjaro - sh 6.6 Trillion
10. Ruvuma - sh 5.6 Trillion
11. Tabora - sh 5.4 Trillion
12. Mara - sh 5.4 Trillion
13. Manyara - sh 4.97 Trillion
14. Dodoma - sh 4.6 Trillion
15. Iringa - sh 4.6 Trillion
16. Kigoma - sh 4.14 Trillion
17. Mtwara - sh 4 Trillion
18. Kagera - sh 3.78 Trillion
19. Rukwa - sh 3.1 Trillion
20. Pwani - sh 2.98 Trillion
21. Lindi - sh 2.95 Trillion
22. Singida - sh 2.7 Trillion
23. Songwe - sh 2.7 Trillion
24. Njombe - sh 2.6 Trillion
25. Katavi - sh 1.99 Trillion
Ukipata data za Simiyu nitag,bila source ni rubbish
 
Utajiri wa mikoa ya Tanzania kwa kuangalia pato la mkoa mmoja mmoja (Regional GDP)

1. Dar es Salaam - sh 25.2 Trillion
2. Mwanza - sh 10.95 Trillion
3. Mbeya - sh 8.3 Trillion
4. Shinyanga - sh 7.589 Trillion
5. Morogoro - sh 7.1 Trillion
6. Tanga - sh 6.9 Trillion
7. Arusha - sh 6.9 Trillion
8. Geita - sh 6.6 Trillion
9. Kilimanjaro - sh 6.6 Trillion
10. Ruvuma - sh 5.6 Trillion
11. Tabora - sh 5.4 Trillion
12. Mara - sh 5.4 Trillion
13. Manyara - sh 4.97 Trillion
14. Dodoma - sh 4.6 Trillion
15. Iringa - sh 4.6 Trillion
16. Kigoma - sh 4.14 Trillion
17. Mtwara - sh 4 Trillion
18. Kagera - sh 3.78 Trillion
19. Rukwa - sh 3.1 Trillion
20. Pwani - sh 2.98 Trillion
21. Lindi - sh 2.95 Trillion
22. Singida - sh 2.7 Trillion
23. Songwe - sh 2.7 Trillion
24. Njombe - sh 2.6 Trillion
25. Katavi - sh 1.99 Trillion
Naomba chanzo cha data zak😵fcz siko interested na kulinganisha Shy na Klm
 
Hivi simiyu siyo mkoa eti au vipi si uoni huo mkoa
Ni mkoa ndio maana hao wa Shinyanga wanajifariji..

Simiyu iko ndani ya Shinyanga na pia moja ya Wilaya yake iko Mwanza kwa hiyo wakitoa Takwimu independent za Simiyu,GDP za Shinyanga na Mwanza zitapungua na Wala hawatakaa kwenye hizo position.
 
Back
Top Bottom