Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi wewe unadhani kila sehemu yenye maendelo ni wachaga tu wapo? Very stupid aid! Kahama kawatafute wachaga wako hawanachao hapo! wanazidiwa mpaka na waha!Na pia unakuta wafanyabishara wengi hapo Kahama ni wenyeji wa mkoa wa Kilimanjaro
Sent from my TECNO LB7 using JamiiForums mobile app
Hizo hizo Takwimu za NBS soma Umasikini wa Wananchi Shinyanga ni ya Ngapi?Utajiri wa mikoa ya Tanzania kwa kuangalia pato la mkoa mmoja mmoja (Regional GDP)
1. Dar es Salaam - sh 25.2 Trillion
2. Mwanza - sh 10.95 Trillion
3. Mbeya - sh 8.3 Trillion
4. Shinyanga - sh 7.589 Trillion
5. Morogoro - sh 7.1 Trillion
6. Tanga - sh 6.9 Trillion
7. Arusha - sh 6.9 Trillion
8. Geita - sh 6.6 Trillion
9. Kilimanjaro - sh 6.6 Trillion
10. Ruvuma - sh 5.6 Trillion
11. Tabora - sh 5.4 Trillion
12. Mara - sh 5.4 Trillion
13. Manyara - sh 4.97 Trillion
14. Dodoma - sh 4.6 Trillion
15. Iringa - sh 4.6 Trillion
16. Kigoma - sh 4.14 Trillion
17. Mtwara - sh 4 Trillion
18. Kagera - sh 3.78 Trillion
19. Rukwa - sh 3.1 Trillion
20. Pwani - sh 2.98 Trillion
21. Lindi - sh 2.95 Trillion
22. Singida - sh 2.7 Trillion
23. Songwe - sh 2.7 Trillion
24. Njombe - sh 2.6 Trillion
25. Katavi - sh 1.99 Trillion
Lete sourceJikite kwenye hoja
🤣🤣🤣🤣🤣Kwa hiyo Kahama haipo Shinyanga?!
Kwahiyo unaweza kusema;Shinyanga inabebwa na kahama! Pale kahama kuna wanaume wanapesa ila kimya!
Hivi wewe unadhani kila mwenyeji wa Kilimanjaro ni mchaga? Very stupid aid!Hivi wewe unadhani kila sehemu yenye maendelo ni wachaga tu wapo? Very stupid aid! Kahama kawatafute wachaga wako hawanachao hapo! wanazidiwa mpaka na waha!
GDP haina lolote ukitaka kujua hali ya utajiri anza na per capita income. Hivyo ukichukua hiyo GDP ukagawanya utaona level ya umasikini ilivyo.Utajiri wa mikoa ya Tanzania kwa kuangalia pato la mkoa mmoja mmoja (Regional GDP)
1. Dar es Salaam - sh 25.2 Trillion
2. Mwanza - sh 10.95 Trillion
3. Mbeya - sh 8.3 Trillion
4. Shinyanga - sh 7.589 Trillion
5. Morogoro - sh 7.1 Trillion
6. Tanga - sh 6.9 Trillion
7. Arusha - sh 6.9 Trillion
8. Geita - sh 6.6 Trillion
9. Kilimanjaro - sh 6.6 Trillion
10. Ruvuma - sh 5.6 Trillion
11. Tabora - sh 5.4 Trillion
12. Mara - sh 5.4 Trillion
13. Manyara - sh 4.97 Trillion
14. Dodoma - sh 4.6 Trillion
15. Iringa - sh 4.6 Trillion
16. Kigoma - sh 4.14 Trillion
17. Mtwara - sh 4 Trillion
18. Kagera - sh 3.78 Trillion
19. Rukwa - sh 3.1 Trillion
20. Pwani - sh 2.98 Trillion
21. Lindi - sh 2.95 Trillion
22. Singida - sh 2.7 Trillion
23. Songwe - sh 2.7 Trillion
24. Njombe - sh 2.6 Trillion
25. Katavi - sh 1.99 Trillion
Ukienda mkoa wa Kilimanjaro vijiji vyake vinahuduma zote na vingi vinafikiwa kwa Barbara ya lami ni tofauti na vijiji vya mikoa mingiGDP haina lolote ukitaka kujua hali ya utajiri anza na per capita income. Hivyo ukichukua hiyo GDP ukagawanya utaona level ya umasikini ilivyo.
Lakini pili nchi au maeneo yenye madini mengi na mafuta kuna tabia ya kuwa na GDP kubwa lakini na usikini ni mkubwa. Kwa nini ipo hivyo ni kwa sababu makampuni machache yanatengeneza income kubwa sana ilihali watu wa kawaida hawana kitu.
Sehemu ambapo service based income ni kubwa basi kuna uwezekano watu wa mahalia wakawa na uchumi mzuri kwa sababu mgawamyo wake ni mkubwa.
Pima sasa mikoa ya utaliii vs mikoa ya madini hali ya watu wake ikoje? Kisha pima sehemu ya viwanda vingi vs wakulima au utalii
Hii takwim ya lini? Mbona baadhi ya mikoa haimo ktk list mseeUtajiri wa mikoa ya Tanzania kwa kuangalia pato la mkoa mmoja mmoja (Regional GDP)
1. Dar es Salaam - sh 25.2 Trillion
2. Mwanza - sh 10.95 Trillion
3. Mbeya - sh 8.3 Trillion
4. Shinyanga - sh 7.589 Trillion
5. Morogoro - sh 7.1 Trillion
6. Tanga - sh 6.9 Trillion
7. Arusha - sh 6.9 Trillion
8. Geita - sh 6.6 Trillion
9. Kilimanjaro - sh 6.6 Trillion
10. Ruvuma - sh 5.6 Trillion
11. Tabora - sh 5.4 Trillion
12. Mara - sh 5.4 Trillion
13. Manyara - sh 4.97 Trillion
14. Dodoma - sh 4.6 Trillion
15. Iringa - sh 4.6 Trillion
16. Kigoma - sh 4.14 Trillion
17. Mtwara - sh 4 Trillion
18. Kagera - sh 3.78 Trillion
19. Rukwa - sh 3.1 Trillion
20. Pwani - sh 2.98 Trillion
21. Lindi - sh 2.95 Trillion
22. Singida - sh 2.7 Trillion
23. Songwe - sh 2.7 Trillion
24. Njombe - sh 2.6 Trillion
25. Katavi - sh 1.99 Trillion
Kwa akili hizi za kushindana kimikoa , kama taifa litaweza kufikia hatua ya kutengeneza toothpick kweli ?Utajiri wa mikoa ya Tanzania kwa kuangalia pato la mkoa mmoja mmoja (Regional GDP)
1. Dar es Salaam - sh 25.2 Trillion
2. Mwanza - sh 10.95 Trillion
3. Mbeya - sh 8.3 Trillion
4. Shinyanga - sh 7.589 Trillion
5. Morogoro - sh 7.1 Trillion
6. Tanga - sh 6.9 Trillion
7. Arusha - sh 6.9 Trillion
8. Geita - sh 6.6 Trillion
9. Kilimanjaro - sh 6.6 Trillion
10. Ruvuma - sh 5.6 Trillion
11. Tabora - sh 5.4 Trillion
12. Mara - sh 5.4 Trillion
13. Manyara - sh 4.97 Trillion
14. Dodoma - sh 4.6 Trillion
15. Iringa - sh 4.6 Trillion
16. Kigoma - sh 4.14 Trillion
17. Mtwara - sh 4 Trillion
18. Kagera - sh 3.78 Trillion
19. Rukwa - sh 3.1 Trillion
20. Pwani - sh 2.98 Trillion
21. Lindi - sh 2.95 Trillion
22. Singida - sh 2.7 Trillion
23. Songwe - sh 2.7 Trillion
24. Njombe - sh 2.6 Trillion
25. Katavi - sh 1.99 Trillion
Kwa hiyo ?!Utajiri wa mikoa ya Tanzania kwa kuangalia pato la mkoa mmoja mmoja (Regional GDP)
1. Dar es Salaam - sh 25.2 Trillion
2. Mwanza - sh 10.95 Trillion
3. Mbeya - sh 8.3 Trillion
4. Shinyanga - sh 7.589 Trillion
5. Morogoro - sh 7.1 Trillion
6. Tanga - sh 6.9 Trillion
7. Arusha - sh 6.9 Trillion
8. Geita - sh 6.6 Trillion
9. Kilimanjaro - sh 6.6 Trillion
10. Ruvuma - sh 5.6 Trillion
11. Tabora - sh 5.4 Trillion
12. Mara - sh 5.4 Trillion
13. Manyara - sh 4.97 Trillion
14. Dodoma - sh 4.6 Trillion
15. Iringa - sh 4.6 Trillion
16. Kigoma - sh 4.14 Trillion
17. Mtwara - sh 4 Trillion
18. Kagera - sh 3.78 Trillion
19. Rukwa - sh 3.1 Trillion
20. Pwani - sh 2.98 Trillion
21. Lindi - sh 2.95 Trillion
22. Singida - sh 2.7 Trillion
23. Songwe - sh 2.7 Trillion
24. Njombe - sh 2.6 Trillion
25. Katavi - sh 1.99 Trillion
Kwahiyo Gaki na fresho ni waha...ukitaja matajiri wakubwa shy ni salum mbuzi,gasper kileo,fred shoo ambae ni marehemu kwasasa....huyo ndege sela ni tajiri wa kahama hafiki hata robo ya pesa za hao nliotajaHivi wewe unadhani kila sehemu yenye maendelo ni wachaga tu wapo? Very stupid aid! Kahama kawatafute wachaga wako hawanachao hapo! wanazidiwa mpaka na waha!
Utafiti uliofanywa na nani?Utajiri wa mikoa ya Tanzania kwa kuangalia pato la mkoa mmoja mmoja (Regional GDP)
1. Dar es Salaam - sh 25.2 Trillion
2. Mwanza - sh 10.95 Trillion
3. Mbeya - sh 8.3 Trillion
4. Shinyanga - sh 7.589 Trillion
5. Morogoro - sh 7.1 Trillion
6. Tanga - sh 6.9 Trillion
7. Arusha - sh 6.9 Trillion
8. Geita - sh 6.6 Trillion
9. Kilimanjaro - sh 6.6 Trillion
10. Ruvuma - sh 5.6 Trillion
11. Tabora - sh 5.4 Trillion
12. Mara - sh 5.4 Trillion
13. Manyara - sh 4.97 Trillion
14. Dodoma - sh 4.6 Trillion
15. Iringa - sh 4.6 Trillion
16. Kigoma - sh 4.14 Trillion
17. Mtwara - sh 4 Trillion
18. Kagera - sh 3.78 Trillion
19. Rukwa - sh 3.1 Trillion
20. Pwani - sh 2.98 Trillion
21. Lindi - sh 2.95 Trillion
22. Singida - sh 2.7 Trillion
23. Songwe - sh 2.7 Trillion
24. Njombe - sh 2.6 Trillion
25. Katavi - sh 1.99 Trillion
Unazungumzia marehemu hapa! Nyinyi mnatabia ya kukariri ukimkuta mchaga mmoja anakijumba kahama au mwanza unaanza kudanganya watu kuwa matajiri wote wa sehemu hiyo ni wachaga! Hivi kahama na shinyanga yote matajiri wanafahamika acha ujinga!Kwahiyo Gaki na fresho ni waha...ukitaja matajiri wakubwa shy ni salum mbuzi,gasper kileo,fred shoo ambae ni marehemu kwasasa....huyo ndege sela ni tajiri wa kahama hafiki hata robo ya pesa za hao nliotaja
Ni sehemu gani Kilimanjaro Kuna nyumba za tembe?Shinyanga inaweza kubwa masikini lakini huwezi kusema inaumasikini wa hali ya kuibeza ukilinganisha na kilimanjaro!
Wataje sasa hao matajiri [emoji23][emoji23] na wewe acha blabla zakoUnazungumzia marehemu hapa! Nyinyi mnatabia ya kukariri ukimkuta mchaga mmoja anakijumba kahama au mwanza unaanza kudanganya watu kuwa matajiri wote wa sehemu hiyo ni wachaga! Hivi kahama na shinyanga yote matajiri wanafahamika acha ujinga!
Nyinyi miaka yenu ya kutamba ilishaisha! Nenda hapo kahama au geita ukaone vijana wa kisukuma walivyo na hela! Nyumba nzuri usukumani saizi kila kona zipo! Tulia dawa ikuingie! Saizi kwa hali ilivo msukuma kila sehemu yupo na anafanya vizuri endelea kujidanyanya huku unakuvywa mbege!Ni sehemu gani Kilimanjaro Kuna nyumba za tembe?