Mkoa wa Kursk, Urusi waendelea kupokea mabomu ya Ukraine, yaani Urusi ndani ndani

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Warusi hawana amani tena ndani ya Urusi....

A construction worker was killed near the Russian village of Plekhovo, a few kilometres from the border with Ukraine after shelling from the Ukrainian side, Roman Starovoit, governor of the Kursk region said on Telegram.

Works were being carried out not far from Plekhovo on fortifying defensive lines for the state border, the governor said.
 
Mmeshindwa vita..mnaanza kufanya maigizo tu..kwa nini wasiende wakakomboe Mariupol, Bahmut, Crimea?? etc.Yaani adui yuko nyumbani kwako unamuacha then unaanza kujifichaficha mpakani huko..Idd Amini alipoingia Tz, tulienda tukakomboa maeneo yetu kwanza then safari ya Kampala ikaanza...hatukukimbia uwanja wa vita tukaanza cross border attacks..na terrorism...
 
Wanaua raia kwa sababu hauwezi rusha bomu eneo ambalo halina wanajeshi
 
Mmeshindwa vita..mnaanza kufanya maigizo tu..kwa nini wasiende wakakomboe Mariupol, Bahmut, Crimea?? etc.Yaani adui yuko nyumbani kwako unamuacha then unaanza kujifichaficha mpakani huko..Idd Amini alipoingia Tz, tulienda tukakomboa maeneo yetu kwanza then safari ya Kampala ikaanza...hatukukimbia uwanja wa vita tukaanza cross border attacks..na terrorism...

Kamji ka Bakhmut kamewashinda supapawa licha ya kupoteza maelfu ya askari, yaani mlijitutumua kuparamia Ukarine yote, leo hii mnahangaika na tumiji twa huko mipakani na twenyewe tunawatokea puani.
 
Mmeshindwa vita..mnaanza kufanya maigizo tu..kwa nini wasiende wakakomboe Mariupol, Bahmut, Crimea?? etc.Yaani adui yuko nyumbani kwako unamuacha then unaanza kujifichaficha mpakani huko..Idd Amini alipoingia Tz, tulienda tukakomboa maeneo yetu kwanza then safari ya Kampala ikaanza...hatukukimbia uwanja wa vita tukaanza cross border attacks..na terrorism...
Kapigane ww kama unaona rahisi

Sent from my HUAWEI NXT-L29 using JamiiForums mobile app
 
Mmeshindwa vita..mnaanza kufanya maigizo tu..kwa nini wasiende wakakomboe UrusuMariupol, Bahmut, Crimea?? etc.Yaani adui yuko nyumbani kwako unamuacha then unaanza kujifichaficha mpakani huko..Idd Amini alipoingia Tz, tulienda tukakomboa maeneo yetu kwanza then safari ya Kampala ikaanza...hatukukimbia uwanja wa vita tukaanza cross border attacks..na terrorism...
Akili hauna bro au unaumia nini hasa, kwani Ukraine kumdindia Putin na Urusi yake wewe inakuuma nini??? Unataka kulinganisha Uganda na Urusi au Tanzania na Ukraine??

Vita vya kagera sio vita vya Urusi na Ukraine bro tumia akili yako vizuri
 
Inasemekana kuna ops kibao CIA wanaingilia kati kuzuia maana nyingi ni ndani ya Moscow
 
Mkuu mleta mada, hivi shemeji yako( mme wa dada yako) ni raia wa marekani nini!?
Maana sio kwa mahaba haya
 
Back
Top Bottom