Mkoa wa Mbeya Wavunja rekodi ya Makusanyo ya Mapato kwa asilimia 105% Mwaka 2021/2022

Eti kahama haipo😁 kimbulu, kibabati na kisimanjiro vyote vimo. Haya bwana, tunduma hongereni sana.
 
Unaongea pumba..

Mjini Huwa kunakuaje?

Halmashauri zipi ambazo Wewe umeona ni mjini kuzidi za Mbeya?
 
Umeandika ujinga Sana ,wewe Kwa akili Yako finyu flyover kwako unaichukuliaje labda?
 
Flyover Mbeya kweli wewe ni pimbi! Mbeya kuna nini hapo mavichuguu ya udongo tu! Majumba yote mpaka Mbalizi ni yatope na vumbi kila kona! Nyinyi vibonde mnajua ngono tu!
Narudia kukuambia wewe ni Kati ya wajinga na mbumbumbu tuu,sijajua wewe flyover unaichukuliaje yaani..

Kama daraja tuu hilo linakupa shida ,Intachenji itakuaje? Mshamba mkubwa..Kenya,Uganda,Ghana nk hapo hizo flyover na Intachenji ziko kwenye miji mingi tuu sembuse Mbeya iliyo barabara kuu?

Kwa taarifa yako usanifu wa barabara Kuu utahusisha yote hayo.
 
Endelea ukijifariji! Jamii yako ya Mbeya hajafkia mwamko huo! Mbeya ukifika huwa unapaonaje? Unaona bonge la maji kwa akili yako ya kijinga!
 
Endelea ukijifariji! Jamii yako ya Mbeya hajafkia mwamko huo! Mbeya ukifika huwa unapaonaje? Unaona bonge la maji kwa akili yako ya kijinga!
Ujinga unakusumbua.. Unfortunately Mbeya itapata classic dual carriage road kabla ya Mwanza naona ndio kiwewe unakipata.
 
Ujinga unakusumbua.. Unfortunately Mbeya itapata classic dual carriage road kabla ya Mwanza naona ndio kiwewe unakipata.
Hivi kwa akili yako ya kijinga ndo unalingia hichi kibarabra cha kuelekea tunduma? Hujui mwanza mda wowote kuna upanuzi wa barabara ya kuekekea Mwanza shinyanga kilometer 25 mpaka usagara? Mbeya ni sawa na mtaa wa Buzuruga!
 
Mwanza Jiji imefikia lengo, mbeya Jiji imeshindwa kufikia lengo, hapo vipi?
Kuna uzembe mkubwa sana pale Mbeya CC,mamlaka za uteuzi ziangalie uwepo wa yule DED wa Mbeya..

Mkoa wa Mbeya sio wa Kuzidiwa na Mwanza.
 
Unaongea pumba..

Mjini Huwa kunakuaje?

Halmashauri zipi ambazo Wewe umeona ni mjini kuzidi za Mbeya?
Sijaongea pumba kabisaa,nadhani Kati ya mahitaji ambayo tunatakiwa kuyaomba toka kwa watawala,Moja wapo ni barabara kuanzia ile kuu Hadi za mitaani..kulilia flyover (hata Kama ni daraja tu) tukaacha barabara tutakuwa hatutendei Hali akili zetu

TANZAM kuanzia igawa Hadi Tunduma ni mbovuuu, in mashimo na matuta yakutosha,ajali nyingi zinatokea kwa sababu ya barabara mbovu.

Kudai flyover uyole kwa ajili ya kuvukia kwenda kingani kwenye vilabu vya pombe kwa Sasa si sahihi
 
Watu walekueleza hapa mkuu wa mkoa amejuaje ila ukaishia kuwatukana tu.
 
Imezungukwa na migodi, mbali na migodi biashara zimechanganya kahama.
Pamoja na Kuzungukwa na Migodi ila Kahama imepigwa chini kimapato na Chalinze na Mkuranga..

Usikariri 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220803-092910.png
    43.1 KB · Views: 5
Kwan Arusha kama mkoa n mwaka wangap Sasa ata shinyanga ,tanga na morogoro hamjawapita kimapato ya mkoa na angalia mbeya n mala ya ngapi IPO kwenye tatu bora
 
Unataka kusema mbeya hakuna vyuo vikuu vya serikali na sasa mnajengewa chuo kingine campus ya udsm. Upumbavu wako utaisha lini? Nataka uniambie kanda ya ziwa nzima kuna chuo kikuu ata kimoja cha serikali???
Kwaiyo ifm simiyu campus n nyanda za juu musin sio Kanda ya ziwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…