Mkoa wa Mbeya Wavunja rekodi ya Makusanyo ya Mapato kwa asilimia 105% Mwaka 2021/2022

Eti kahama haipo😁 kimbulu, kibabati na kisimanjiro vyote vimo. Haya bwana, tunduma hongereni sana.
 
Najua umeandika haya kwa utani tu,hauwezi kuwa siriasi...ila kwa kuwa jukwaa hili ni la Mambo siriasi,na Mimi nimechukulia siriasi Hadi nimeamua kukunukuu.

Unasema Serikali ijenge "flyover" uyole, kwa ajiri ya Nini pale uyole,ili watu wawe wanavuka kwenda soko mjinga pale kingani??

Mafiati "flyover" ni kwa ajiri ya kuflyia kitu gani pale,magari hata yakiwa na foleni kubwa sanaaa, hayazidi magari 100 pande zote .

Et Mbalizi kujengwe "flyover". Ya kutoka wapi kwenda wapi pale labda?ungewasaidia wakazi wa Mbalizi Kama ungependekeza hayo mapato tunayotamba tumeongoza,wajengewe barabara za lami za mitaa waepukane na vumbi Kali linalokuja mwezi huu wa nane huu.

Hizi sifa tunazojipa sisi wana Mbeya,asilimia kubwa ni za uongo,mji wetu bado Sanaa,.hizi sifa tunazojivika ndiyo zinafanya mgeni akija huku,mkiwa pale uhindini ( mjini katikati) mgeni anauliza swali linalotukera sisi wenyeji. Huwa wanauliza " mjini ndiyo wapi?", Kumbe tuko mjini katikati,unamoa mgeni wako jibu kuwa ni hapa hapa tulipo

Halmashauri zetu ziongeze Kasi ya kujenga miji yetu badala ya kufuja pesa zinazoletwa na Serikali na wanazokusanya wenyewe
Unaongea pumba..

Mjini Huwa kunakuaje?

Halmashauri zipi ambazo Wewe umeona ni mjini kuzidi za Mbeya?
 
Umeandika ujinga Sana ,wewe Kwa akili Yako finyu flyover kwako unaichukuliaje labda?
 
Flyover Mbeya kweli wewe ni pimbi! Mbeya kuna nini hapo mavichuguu ya udongo tu! Majumba yote mpaka Mbalizi ni yatope na vumbi kila kona! Nyinyi vibonde mnajua ngono tu!
Narudia kukuambia wewe ni Kati ya wajinga na mbumbumbu tuu,sijajua wewe flyover unaichukuliaje yaani..

Kama daraja tuu hilo linakupa shida ,Intachenji itakuaje? Mshamba mkubwa..Kenya,Uganda,Ghana nk hapo hizo flyover na Intachenji ziko kwenye miji mingi tuu sembuse Mbeya iliyo barabara kuu?

Kwa taarifa yako usanifu wa barabara Kuu utahusisha yote hayo.
 
Endelea ukijifariji! Jamii yako ya Mbeya hajafkia mwamko huo! Mbeya ukifika huwa unapaonaje? Unaona bonge la maji kwa akili yako ya kijinga!
 
Ujinga unakusumbua.. Unfortunately Mbeya itapata classic dual carriage road kabla ya Mwanza naona ndio kiwewe unakipata.
 
Hivi kwa akili yako ya kijinga ndo unalingia hichi kibarabra cha kuelekea tunduma? Hujui mwanza mda wowote kuna upanuzi wa barabara ya kuekekea Mwanza shinyanga kilometer 25 mpaka usagara? Mbeya ni sawa na mtaa wa Buzuruga!
 
Mwanza Jiji imefikia lengo, mbeya Jiji imeshindwa kufikia lengo, hapo vipi?
Kuna uzembe mkubwa sana pale Mbeya CC,mamlaka za uteuzi ziangalie uwepo wa yule DED wa Mbeya..

Mkoa wa Mbeya sio wa Kuzidiwa na Mwanza.
 
Unaongea pumba..

Mjini Huwa kunakuaje?

Halmashauri zipi ambazo Wewe umeona ni mjini kuzidi za Mbeya?
Sijaongea pumba kabisaa,nadhani Kati ya mahitaji ambayo tunatakiwa kuyaomba toka kwa watawala,Moja wapo ni barabara kuanzia ile kuu Hadi za mitaani..kulilia flyover (hata Kama ni daraja tu) tukaacha barabara tutakuwa hatutendei Hali akili zetu

TANZAM kuanzia igawa Hadi Tunduma ni mbovuuu, in mashimo na matuta yakutosha,ajali nyingi zinatokea kwa sababu ya barabara mbovu.

Kudai flyover uyole kwa ajili ya kuvukia kwenda kingani kwenye vilabu vya pombe kwa Sasa si sahihi
 
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya amedanganya Umma,wakati anasema Kila Halmashauri yake imevuka Malengo, Waziri wa Tamisemi anasema Jiji la Mbeya limekuwa la mwisho..

Juma Homela atutake radhi kwa kutoa taarifa ya uongo na miaka mingine asirudie kabisa [emoji116]

View attachment 2311832
Watu walekueleza hapa mkuu wa mkoa amejuaje ila ukaishia kuwatukana tu.
 
Imezungukwa na migodi, mbali na migodi biashara zimechanganya kahama.
Pamoja na Kuzungukwa na Migodi ila Kahama imepigwa chini kimapato na Chalinze na Mkuranga..

Usikariri šŸ‘‡
 
Attachments

  • Screenshot_20220803-092910.png
    Screenshot_20220803-092910.png
    43.1 KB · Views: 5
Kwan Arusha kama mkoa n mwaka wangap Sasa ata shinyanga ,tanga na morogoro hamjawapita kimapato ya mkoa na angalia mbeya n mala ya ngapi IPO kwenye tatu bora
 
Unataka kusema mbeya hakuna vyuo vikuu vya serikali na sasa mnajengewa chuo kingine campus ya udsm. Upumbavu wako utaisha lini? Nataka uniambie kanda ya ziwa nzima kuna chuo kikuu ata kimoja cha serikali???
Kwaiyo ifm simiyu campus n nyanda za juu musin sio Kanda ya ziwa
 
Back
Top Bottom