Mkoa wa Pwani mnastahili pongezi kwa kutoa Mawaziri wengi

Ulega anawakilisha sehemu ya mkoa wa pwani na sehemu ya daslama!!!
 
Ukiondoa wenye uhusiano na wakubwa, mkoa unabakiwa na mawaziri wanaojisimamia wenyewe wangapi?
 
Hakika nyie Ni maalum haswa nchini,

1. Jafo,
2. Mchengerwa,
3. Ulega,
4. Ridhiwani,
5. Kipanga.
Mkoa wa Tanga
1. January Makamba
2. Ummy Mwalimu
3. Juma Aweso
4. Hamis Mwinjuma ( Mwana FA)
Ongeza wengine
 
Shalom

Taifa kwa sasa limeegemea mikoa ya Pwani na Tanga , hii mikoa Ina Mawaziri wasiopungua 9 kwa takwimu za haraka Pwani wako 5 na Tanga wako 4.

Kila awamu na agenda zake kupanga ni kuchagua na matokeo ni kuchagua.

Ni hayo tu

Wadiz
 
Dodoma na Singida huoni? Kigoma na Ruvuma Je?
 
Shalom

Taifa kwa sasa limeegemea mikoa ya Pwani na Tanga , hii mikoa Ina Mawaziri wasiopungua 9 kwa takwimu za haraka Pwani wako 5 na Tanga wako 4.

Kila awamu na agenda zake kupanga ni kuchagua na matokeo ni kuchagua.

Ni hayo tu

Wadiz
Ruvuma
1. Damas Ndumbaro
2. Jenister Mhagama
3. Stella Manyanya
4. Judith Kapinga
 
Back
Top Bottom