Mkoa wa Pwani mnastahili pongezi kwa kutoa Mawaziri wengi

Mkoa wa Pwani mnastahili pongezi kwa kutoa Mawaziri wengi

Hakika nyie Ni maalum haswa nchini,

1. Jafo,
2. Mchengerwa,
3. Ulega,
4. Ridhiwani,
5. Kipanga.
Tupongeze uwepo wa idadi kubwa ya mawaziri au uwezo wa mawaziri kufanya transformation, kwakua hakuna la maana wanalotufanyia watanzania tuwapongeze kwa kutufelisha
 
Hakika nyie Ni maalum haswa nchini,

1. Jafo,
2. Mchengerwa,
3. Ulega,
4. Ridhiwani,
5. Kipanga.
Ingekuwa hawa wote wanatokea kati ya Mbeya, Kilimanjaro au Kagera. Kungekuwa na kelele mpaka Kanyigo
 
Shalom

Taifa kwa sasa limeegemea mikoa ya Pwani na Tanga , hii mikoa Ina Mawaziri wasiopungua 9 kwa takwimu za haraka Pwani wako 5 na Tanga wako 4.

Kila awamu na agenda zake kupanga ni kuchagua na matokeo ni kuchagua.

Ni hayo tu

Wadiz
Kazi kwelikweli, Mkuu umeni kumbusha wakati wa JKN yeye alihakikisha kila mkoa anatoka waziri walau mmoja.
 
Back
Top Bottom