Mkoa wa pwani ugawanywe ili kuongeza upatikana wahuduma kwa wananchi

Dennis Robert Shughuru

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2024
Posts
5,559
Reaction score
8,747
Mkoa wa pwani unatakiwa ugawanywe nikimaanisha ukanda wa rufiji na wilaya ya kilwa unatakiwa uwe mkoa

Kibaha mpaka mlandizi zinatakiwa ziwe sehemu ya mkoa wa dar es salaam kama sehemu ya dar es salaam metropolitian area

Makao makuu ya mkoa wa pwani yanatakiwa kuwa chalinze nikimaanisha chalinze inatakiwa ijengwe upya na vuzuri kuliko ilivyo sasa

Kutajengwa barabara ya njia 3 kuanzia mpaka chalinze hadi kibiti na mpaka kisarawe ili kufungua haya maeneo yako nyuma sana

Faida za kugawanya mkoa wa pwani ni kama zifuatazo:-
  1. Utarahisisha utoaji wahuduma imagine mtu ambaye yupo kibiri au utete rufiji kama anataka huduma kwenye ofisi ya mkoa inambidi aende dsm ndo aende kibaha
  2. Itaongeza ukuaji wa sehemu kama rufiji na kilwa ambazo zipo nyuma sana
Mkuu wa mkoa na msaidizi wake achaguliwe kwa box la kura
 
Mkapa aliongeza Mkoa mmoja tu tena kwa Shida Mno.
Arusha kuzaa Manyara 2002

Waliopanga mikoa Vile sio wajinga.
Hata marekani na state zake 50 hazijawahi kuongezwa wala Kupunguzwa.

Mimi nimesoma Regionalizatio lakini sikubaliani kugawa Mikoa Wilaya wala Majimbo.
Dar es salama na pwani nilitaka ziwe mkoa Mmoja.
 
Mkoa wa pwani unatakiwa ugawanywe nikimaanisha ukanda wa rufiji na wilaya ya kilwa unatakiwa uwe mkoa

Kibaha mpaka mlandizi zinatakiwa ziwe sehemu ya mkoa wa dar es salaam kama sehemu ya dar es salaam metropolitian area

Makao makuu ya mkoa wa pwani yanatakiwa kuwa chalinze nikimaanisha chalinze inatakiwa ijengwe upya na vuzuri kuliko ilivyo sasa

Faida za kugawanya mkoa wa pwani ni kama zifuatazo:-
  1. Utarahisisha utoaji wahuduma imagine mtu ambaye yupo kibiri au utete rufiji kama anataka huduma kwenye ofisi ya mkoa inambidi aende dsm ndo aende kibaha
  2. Itaongeza ukuaji wa sehemu kama rufiji na kilwa ambazo zipo nyuma sana
Serikali mtandao (e-gov) ipo wapi sasa? Mbona kuna hela nyingi imetengwa kwa ajili ya ega? Utoke utete kwenda kibaha kufanya nini wakati email moja inamaliza kila kitu?
 
Serikali mtandao (e-gov) ipo wapi sasa? Mbona kuna hela nyingi imetengwa kwa ajili ya ega? Utoke utete kufanya kwenda kibaha kufanya nini wakati email moja inamaliza kila kitu?
Kwanza, Unakuta email hazijibiwi na simu hazipatikani daima, au hazipokelewi.

Pili, kuna wananchi hawajui email na hawawezi kutumia e-gov.

Tatu, watendaji wanataka uende physically ili wakuchomoe chochote kitu (wakukule kwa urefu wa kamba)
 
Mkoa wa pwani unatakiwa ugawanywe nikimaanisha ukanda wa rufiji na wilaya ya kilwa unatakiwa uwe mkoa

Kibaha mpaka mlandizi zinatakiwa ziwe sehemu ya mkoa wa dar es salaam kama sehemu ya dar es salaam metropolitian area

Makao makuu ya mkoa wa pwani yanatakiwa kuwa chalinze nikimaanisha chalinze inatakiwa ijengwe upya na vuzuri kuliko ilivyo sasa

Faida za kugawanya mkoa wa pwani ni kama zifuatazo:-
  1. Utarahisisha utoaji wahuduma imagine mtu ambaye yupo kibiri au utete rufiji kama anataka huduma kwenye ofisi ya mkoa inambidi aende dsm ndo aende kibaha
  2. Itaongeza ukuaji wa sehemu kama rufiji na kilwa ambazo zipo nyuma sana
Siku nyingine ujitahidi kuumiza kichwa ili upate majibu sahihi ya kile unachokiwaza.

Shida kubwa kwenye hii nchi siyo hii ya kuigawanya vipande vidogo vidogo vya kiutawala ili kuwaongezea mzigo walipa kodi kwa kuanziasha Mikoa mingine!

Shida kubwa kwenye hii nchi ni matumizi mabaya ya kodi za wananchi, ubadhirifu na ufisadi uliokithiri, mgawanyo usio sawa wa huduma za kijamii, miundombinu duni ya barabara na reli inayoshindwa kuyaunganisha maeneo yote ya nchi, nk

Na siyo kuongeza Mikoa na Wilaya! Huku kutaongeza matumizi zaidi ya uendeshaji wa serikali!
 
Nikiwa Raid lazima mikoa itaongezwa hili halina-nagotiation
 
Kwanza, Unakuta email hazijibiwi na simu hazipatikani daima, au hazipokelewi.

Pili, kuna wananchi hawajui email na hawawezi kutumia e-gov.

Tatu, watendaji wanataka uende physically ili wakuchomoe chochote kitu (wakukule kwa urefu wa kamba)
Kwa hiyo watu wapoteze hela na muda kwa ajili ya uzembe wa watu wachache serikalini. Hoja inatakiwa kuwa e-gov imefikia wapi kwenye uendeshaji wa serikali? Sababu mpaka ega kuanzishwa ilikuwa ni kwa faida ya wananchi
 
Back
Top Bottom