The ghost writer
JF-Expert Member
- Apr 5, 2023
- 967
- 1,971
WAtu wa mtandaoni huwaga mnachekesha sanaKwa hiyo watu wapoteze hela na muda kwa ajili ya uzembe wa watu wachache serikalini. Hoja inatakiwa kuwa e-gov imefikia wapi kwenye uendeshaji wa serikali? Sababu mpaka ega kuanzishwa ilikuwa ni kwa faida ya wananchi
Kuongeza majimbo sio tatizoJe wewe una tofauti Gani na wale ambao wanataka waongeze majimbo ya uchaguzi.
Kuongeza majimbo sio tatizo
Tatizo ni mfumo wa kuchagua wabunge
Yote yanaumuhimu sababu yanalengo la kuhudumia wananchiKipi ni muhimu kwako kuongeza budget ili kuweza kuyafikia maeneo yenye changamoto au kuongeza majimbo ya uchaguzi au kugawa mikoa.?
Basi wewe utakuwa ni Raid wa hovyo kabisa unayefikiria kuongeza ukubwa wa serikali badala ya kuupunguza ili kuwapunguzia mzigo wananchi wa kuiendesha hiyo serikali kubwa kupitia kodi zao.Nikiwa Raid lazima mikoa itaongezwa hili halina-nagotiation
Rais wangu ajaye nadhani umekulia kanda ya pwani hujui changamoto za kanda zingine.Mkoa wa pwani unatakiwa ugawanywe nikimaanisha ukanda wa rufiji na wilaya ya kilwa unatakiwa uwe mkoa
Kibaha mpaka mlandizi zinatakiwa ziwe sehemu ya mkoa wa dar es salaam kama sehemu ya dar es salaam metropolitian area
Makao makuu ya mkoa wa pwani yanatakiwa kuwa chalinze nikimaanisha chalinze inatakiwa ijengwe upya na vuzuri kuliko ilivyo sasa
Kutajengwa barabara ya njia 3 kuanzia mpaka chalinze hadi kibiti na mpaka kisarawe ili kufungua haya maeneo yako nyuma sana
Faida za kugawanya mkoa wa pwani ni kama zifuatazo:-
- Utarahisisha utoaji wahuduma imagine mtu ambaye yupo kibiri au utete rufiji kama anataka huduma kwenye ofisi ya mkoa inambidi aende dsm ndo aende kibaha
- Itaongeza ukuaji wa sehemu kama rufiji na kilwa ambazo zipo nyuma sana
Hizo kanda nyingine zitaongelewa kwenye nyuzi nyingineRais wangu ajaye nadhani umekulia kanda ya pwani hujui changamoto za kanda zingine.
Inaonekana utaijenga sana Dar na kusahau mikoa mingine.
Kwa nini nasema hivi? Kwa sababu naona huwa unaiconsider kanda ya Pwani tu (Dar na Pwani) kwenye maono yako.
Basi ngoja nikupe na haya utaongezea kwenye sera zako
Barabara yenyewe ni ya kutokea Tabora - Skonge - Chunya - Mbeya ,hii road kuanzia Sikonge mpaka kuikamata Chunya haina rami too sad 🤔
- Njoo na suluhisho la ajira kwa vijana
- Gharama nafuu za maisha kwa kila mtanzania
- Bana matumiza mabaya ya kodi ya wananchi ,biashara haramu na money laundering
- Imarisha sekta ya viwanda na kuzuia kuimport bidhaa ambazo hazina ulazima wa kuagiza kutoka nje
- Huduma za afya kwa wananchi
- Huwezi amini Kuna njia haina rami kabisa tangia nchi ipate uhuru na kama ikijengwa itaokoa muda wa safari na kuonganisha kanda ya nyanda za juu kusini hasa Mbeya na kanda ya ziwa
- Kaboreshe road ya Tanzam hasa kipande kizima cha Kuanzia Makambako - Mbeya - Tunduma(piga hata njia 6)
- Ongeza miradi (Big projects) zaidi kwenye majiji yaliyosahaulika na serikali hasa Mbeya ,Tanga na Mwanza na mikoa iliyosahaulika kama Ruvuma n.k
- Fanya Mwanza kuwa East African hub na jiji la kitalii ,Kenyata road inatia kinyaa panua hata ziwe njia 4
Mengine wataongezea wengine
Uko gizani kwa hiyi sio kosa lakoBasi wewe utakuwa ni Raid wa hovyo kabisa unayefikiria kuongeza ukubwa serikali badala ya kuupunguza ili kuwapunguzia mzigo wananchi wa kuiendesha hiyo serikali kubwa kupitia kodi zao.
Mkoa hautoi HUDUMA.Mkoa wa pwani unatakiwa ugawanywe nikimaanisha ukanda wa rufiji na wilaya ya kilwa unatakiwa uwe mkoa
Kibaha mpaka mlandizi zinatakiwa ziwe sehemu ya mkoa wa dar es salaam kama sehemu ya dar es salaam metropolitian area
Makao makuu ya mkoa wa pwani yanatakiwa kuwa chalinze nikimaanisha chalinze inatakiwa ijengwe upya na vuzuri kuliko ilivyo sasa
Kutajengwa barabara ya njia 3 kuanzia mpaka chalinze hadi kibiti na mpaka kisarawe ili kufungua haya maeneo yako nyuma sana
Faida za kugawanya mkoa wa pwani ni kama zifuatazo:-
- Utarahisisha utoaji wahuduma imagine mtu ambaye yupo kibiri au utete rufiji kama anataka huduma kwenye ofisi ya mkoa inambidi aende dsm ndo aende kibaha
- Itaongeza ukuaji wa sehemu kama rufiji na kilwa ambazo zipo nyuma sana
Kwani kuna mtu niliyemjibu vibaya au kumtukanaAnswer those who seek facts; ignore those who seek to provoke you.
Rais ajaye wazo ulilotoa ni jema ila tegemea majibu yote na mawazo tofauti. Huo ndio uhuru wa maoni. No hard feelings.
Huo ni mtizamo wako ambao sio sahiiMkoa hautoi HUDUMA.
Maana haukufanyi mapato wala haujengi miradi.
HUduma hutolewa na HALMASHAURI.
Unajua ukubwa wa Mkoa wa Mbeya?Mkoa wa pwani unatakiwa ugawanywe nikimaanisha ukanda wa rufiji na wilaya ya kilwa unatakiwa uwe mkoa
Kibaha mpaka mlandizi zinatakiwa ziwe sehemu ya mkoa wa dar es salaam kama sehemu ya dar es salaam metropolitian area
Makao makuu ya mkoa wa pwani yanatakiwa kuwa chalinze nikimaanisha chalinze inatakiwa ijengwe upya na vuzuri kuliko ilivyo sasa
Kutajengwa barabara ya njia 3 kuanzia mpaka chalinze hadi kibiti na mpaka kisarawe ili kufungua haya maeneo yako nyuma sana
Faida za kugawanya mkoa wa pwani ni kama zifuatazo:-
Mkuu wa mkoa na msaidizi wake achaguliwe kwa box la kura
- Utarahisisha utoaji wahuduma imagine mtu ambaye yupo kibiri au utete rufiji kama anataka huduma kwenye ofisi ya mkoa inambidi aende dsm ndo aende kibaha
- Itaongeza ukuaji wa sehemu kama rufiji na kilwa ambazo zipo nyuma sana
Nenda sober kijana.Huo ni mtizamo wako ambao sio sahii
Kwani ukubwa unazuia nini wananchi kupata huduma kama viongozi wangekuwa wawajibikaji kwa wanan hi wao?Mkoa wa pwani unatakiwa ugawanywe nikimaanisha ukanda wa rufiji na wilaya ya kilwa unatakiwa uwe mkoa
Kibaha mpaka mlandizi zinatakiwa ziwe sehemu ya mkoa wa dar es salaam kama sehemu ya dar es salaam metropolitian area
Makao makuu ya mkoa wa pwani yanatakiwa kuwa chalinze nikimaanisha chalinze inatakiwa ijengwe upya na vuzuri kuliko ilivyo sasa
Kutajengwa barabara ya njia 3 kuanzia mpaka chalinze hadi kibiti na mpaka kisarawe ili kufungua haya maeneo yako nyuma sana
Faida za kugawanya mkoa wa pwani ni kama zifuatazo:-
Mkuu wa mkoa na msaidizi wake achaguliwe kwa box la kura
- Utarahisisha utoaji wahuduma imagine mtu ambaye yupo kibiri au utete rufiji kama anataka huduma kwenye ofisi ya mkoa inambidi aende dsm ndo aende kibaha
- Itaongeza ukuaji wa sehemu kama rufiji na kilwa ambazo zipo nyuma sana
Kwani huku kwamba tayari? Rufiji ndio makao Makuu ya MkoaMkoa wa pwani unatakiwa ugawanywe nikimaanisha ukanda wa rufiji na wilaya ya kilwa unatakiwa uwe mkoa
Kibaha mpaka mlandizi zinatakiwa ziwe sehemu ya mkoa wa dar es salaam kama sehemu ya dar es salaam metropolitian area
Makao makuu ya mkoa wa pwani yanatakiwa kuwa chalinze nikimaanisha chalinze inatakiwa ijengwe upya na vuzuri kuliko ilivyo sasa
Kutajengwa barabara ya njia 3 kuanzia mpaka chalinze hadi kibiti na mpaka kisarawe ili kufungua haya maeneo yako nyuma sana
Faida za kugawanya mkoa wa pwani ni kama zifuatazo:-
Mkuu wa mkoa na msaidizi wake achaguliwe kwa box la kura
- Utarahisisha utoaji wahuduma imagine mtu ambaye yupo kibiri au utete rufiji kama anataka huduma kwenye ofisi ya mkoa inambidi aende dsm ndo aende kibaha
- Itaongeza ukuaji wa sehemu kama rufiji na kilwa ambazo zipo nyuma sana
Ni afrika pekee mtu akija na mawazo ya maendeleo anaambiwa aende soberNenda sober kijana.
Hujachelewa au huna ndugu?
Kuongeza gharama za serikali kwa kuongeza maeneo ya utawala siyo mawazo ya maendeleo.Ni afrika pekee mtu akija na mawazo ya maendeleo anaambiwa aende sober
Mnataka wote tu-discuss habari za umbea na kuponda viongozi na uzindaki ndo kipimo chenu cha akili
Pole sana