Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
Hata wewe una-haki hiyo kikatibaWewe ndio unataka kuwa rais sio?
Serikali mtandao (e-gov) ipo wapi sasa? Mbona kuna hela nyingi imetengwa kwa ajili ya ega? Utoke utete kwenda kibaha kufanya nini wakati email moja inamaliza kila kitu?Mkoa wa pwani unatakiwa ugawanywe nikimaanisha ukanda wa rufiji na wilaya ya kilwa unatakiwa uwe mkoa
Kibaha mpaka mlandizi zinatakiwa ziwe sehemu ya mkoa wa dar es salaam kama sehemu ya dar es salaam metropolitian area
Makao makuu ya mkoa wa pwani yanatakiwa kuwa chalinze nikimaanisha chalinze inatakiwa ijengwe upya na vuzuri kuliko ilivyo sasa
Faida za kugawanya mkoa wa pwani ni kama zifuatazo:-
- Utarahisisha utoaji wahuduma imagine mtu ambaye yupo kibiri au utete rufiji kama anataka huduma kwenye ofisi ya mkoa inambidi aende dsm ndo aende kibaha
- Itaongeza ukuaji wa sehemu kama rufiji na kilwa ambazo zipo nyuma sana
Ulishawahi kutuma ujumbe kwenye email za serikali ukajibiwa kwa wakati?Serikali mtandao (e-gov) ipo wapi sasa? Mbona kuna hela nyingi imetengwa kwa ajili ya ega? Utoke utete kufanya kwenda kibaha kufanya nini wakati email moja inamaliza kila kitu?
Kwanza, Unakuta email hazijibiwi na simu hazipatikani daima, au hazipokelewi.Serikali mtandao (e-gov) ipo wapi sasa? Mbona kuna hela nyingi imetengwa kwa ajili ya ega? Utoke utete kufanya kwenda kibaha kufanya nini wakati email moja inamaliza kila kitu?
Siku nyingine ujitahidi kuumiza kichwa ili upate majibu sahihi ya kile unachokiwaza.Mkoa wa pwani unatakiwa ugawanywe nikimaanisha ukanda wa rufiji na wilaya ya kilwa unatakiwa uwe mkoa
Kibaha mpaka mlandizi zinatakiwa ziwe sehemu ya mkoa wa dar es salaam kama sehemu ya dar es salaam metropolitian area
Makao makuu ya mkoa wa pwani yanatakiwa kuwa chalinze nikimaanisha chalinze inatakiwa ijengwe upya na vuzuri kuliko ilivyo sasa
Faida za kugawanya mkoa wa pwani ni kama zifuatazo:-
- Utarahisisha utoaji wahuduma imagine mtu ambaye yupo kibiri au utete rufiji kama anataka huduma kwenye ofisi ya mkoa inambidi aende dsm ndo aende kibaha
- Itaongeza ukuaji wa sehemu kama rufiji na kilwa ambazo zipo nyuma sana
Watanzania ni watu wenye IQ ndogo sana na uthibitisho mmoja ni huko kufikiria maendeleo yanakuja kwa kuongeza mikoa na wilayaKwamba ili huduma ziwepo ni mpaka mkoa ugawanywe? Bila hvy hakuna huduma?
Nikiwa Raid lazima mikoa itaongezwa hili halina-nagotiationSiku nyingine ujitahidi kuumiza kichwa ili upate majibu sahihi ya kile unachokiwaza.
Shida kubwa kwenye hii nchi siyo hii ya kuigawanya vipande vidogo vidogo vya kiutawala ili kuwaongezea mzigo walipa kodi kwa kuanziasha Mikoa mingine!
Shida kubwa kwenye hii nchi ni matumizi mabaya ya kodi za wananchi, ubadhirifu na ufisadi uliokithiri, mgawanyo usio sawa wa huduma za kijamii, miundombinu duni ya barabara na reli inayoshindwa kuyaunganisha maeneo yote ya nchi, nk
Na siyo kuongeza Mikoa na Wilaya! Huku kutaongeza matumizi zaidi ya uendeshaji wa serikali!
Wewe mwenye IQ kubwa ni jambo lipi la maana ulilofanya ambalo hata ukifa leo utaacha legacyWatanzania ni watu wenye IQ ndogo sana na uthibitisho mmoja ni huko kufikiria maendeleo yanakuja kwa kuongeza mikoa na wilaya
Kusema Watanzania wengi ni watu wenye IQ ndogoWewe mwenye IQ kubwa ni jambo lipi la maana ulilofanya ambalo hata ukifa leo utaacha legacy
Wewe mwenyewe IQ kubwa ni kipi cha maana ulichofanyaKusema Watanzania wengi ni watu wenye IQ ndogo
Kwa hiyo watu wapoteze hela na muda kwa ajili ya uzembe wa watu wachache serikalini. Hoja inatakiwa kuwa e-gov imefikia wapi kwenye uendeshaji wa serikali? Sababu mpaka ega kuanzishwa ilikuwa ni kwa faida ya wananchiKwanza, Unakuta email hazijibiwi na simu hazipatikani daima, au hazipokelewi.
Pili, kuna wananchi hawajui email na hawawezi kutumia e-gov.
Tatu, watendaji wanataka uende physically ili wakuchomoe chochote kitu (wakukule kwa urefu wa kamba)