Mkoa wa pwani ugawanywe ili kuongeza upatikana wahuduma kwa wananchi

Kwa hiyo watu wapoteze hela na muda kwa ajili ya uzembe wa watu wachache serikalini. Hoja inatakiwa kuwa e-gov imefikia wapi kwenye uendeshaji wa serikali? Sababu mpaka ega kuanzishwa ilikuwa ni kwa faida ya wananchi
WAtu wa mtandaoni huwaga mnachekesha sana

Mpaka sahivi navyoandika asilimia 99 ya shule za msingi hazifundishi somo la computer na hawana computer lab

Matokeo yake ni majority ya watanzania hawana elimu hata ile ya basic ya computer kuna watanzania asilimia zaidi ya 80 hawajui hata kufungua gmail au email kwenye simu au computer

Sasa hiyi e-government itafanyaje kazi kwa mazingira ya sasa mda mwingine tuangalie uhalisia
 
Rais wangu ajaye nadhani umekulia kanda ya pwani hujui changamoto za kanda zingine.
Inaonekana utaijenga sana Dar na kusahau mikoa mingine.

Kwa nini nasema hivi? Kwa sababu naona huwa unaiconsider kanda ya Pwani tu (Dar na Pwani) kwenye maono yako.

Basi ngoja nikupe na haya utaongezea kwenye sera zako
  • Njoo na suluhisho la ajira kwa vijana
  • Gharama nafuu za maisha kwa kila mtanzania
  • Bana matumiza mabaya ya kodi ya wananchi ,biashara haramu na money laundering
  • Imarisha sekta ya viwanda na kuzuia kuimport bidhaa ambazo hazina ulazima wa kuagiza kutoka nje
  • Huduma za afya kwa wananchi
  • Huwezi amini Kuna njia haina rami kabisa tangia nchi ipate uhuru na kama ikijengwa itaokoa muda wa safari na kuonganisha kanda ya nyanda za juu kusini hasa Mbeya na kanda ya ziwa
Barabara yenyewe ni ya kutokea Tabora - Skonge - Chunya - Mbeya ,hii road kuanzia Sikonge mpaka kuikamata Chunya haina rami too sad 🤔
  • Kaboreshe road ya Tanzam hasa kipande kizima cha Kuanzia Makambako - Mbeya - Tunduma(piga hata njia 6)
  • Ongeza miradi (Big projects) zaidi kwenye majiji yaliyosahaulika na serikali hasa Mbeya ,Tanga na Mwanza na mikoa iliyosahaulika kama Ruvuma n.k
  • Fanya Mwanza kuwa East African hub na jiji la kitalii ,Kenyata road inatia kinyaa panua hata ziwe njia 4

Mengine wataongezea wengine
 
Hizo kanda nyingine zitaongelewa kwenye nyuzi nyingine
 
Basi wewe utakuwa ni Raid wa hovyo kabisa unayefikiria kuongeza ukubwa serikali badala ya kuupunguza ili kuwapunguzia mzigo wananchi wa kuiendesha hiyo serikali kubwa kupitia kodi zao.
Uko gizani kwa hiyi sio kosa lako
 
Answer those who seek facts; ignore those who seek to provoke you.
Rais ajaye wazo ulilotoa ni jema ila tegemea majibu yote na mawazo tofauti. Huo ndio uhuru wa maoni. No hard feelings.
 
Mkoa hautoi HUDUMA.

Maana haukufanyi mapato wala haujengi miradi.

HUduma hutolewa na HALMASHAURI.
 
Answer those who seek facts; ignore those who seek to provoke you.
Rais ajaye wazo ulilotoa ni jema ila tegemea majibu yote na mawazo tofauti. Huo ndio uhuru wa maoni. No hard feelings.
Kwani kuna mtu niliyemjibu vibaya au kumtukana
 
Unajua ukubwa wa Mkoa wa Mbeya?
 
Kwani ukubwa unazuia nini wananchi kupata huduma kama viongozi wangekuwa wawajibikaji kwa wanan hi wao?
 
Kwani huku kwamba tayari? Rufiji ndio makao Makuu ya Mkoa
 
Nenda sober kijana.

Hujachelewa au huna ndugu?
Ni afrika pekee mtu akija na mawazo ya maendeleo anaambiwa aende sober
Mnataka wote tu-discuss habari za umbea na kuponda viongozi na uzindaki ndo kipimo chenu cha akili
Pole sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…