Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tujikumbushe tukio Yale mauaji ya Kibiti 2017 yalitishia Amani yetuSuala la kuanzisha kambi mpya si suala Baya, ila linahitaji rasilimali pia.
Nadhani tuna changamoto kubwa kwenye. Huduma za kijamii km elimu afya ,malipo ya wastaafu ,Ajira mpya nk. Kuliko hizo kambi.
Kuna wakati mabomu yalilipuka,majibu tulipewa kuwa kambi ziko kiutaratibu kutokana na formation tunatotumi kiulizi.
Mkoa WA pwani Una mapori na misitu la hayajazidi kanda za magaharibu,mtandao za juu kusini ukilinganisha Kwa hekta.
Na kuangalia kiwilaya bado wilaya za mkoa WA pwani zinapitwa na wilaya. Za mkoa mingine. Kwa maan
a ya hekta za misitu na mapori rasmi.
Kambi mpya zingekuwa zinafunguliwa dar ,tungesema si vema.
Hata hivyo wakati kambi zinajemgwa palikiwa porini .
Mfano ,kisarawe ,kibaha ,kihangaiko ni maeneo ambayo bado Yana kambi za jeshi kubwa. Na yapo mkoa WA pwani.
Kambi km gongolamboto na mbadala wakati zinaanzishwa zilikua polini katikati ya msitu mnene wenye wanyama wakali. Na wananchi ndio walizisogelea kambi ila sio kambi kuwafuata wananchi. Hii ilisababishwa na Sababu mbali mbali ikiwemo kujiakikishia usalama. Dhidi ya majambazi.
Na Kwa mazozezi mengi ya kijeshi Kwa kambi za karibu mbona yanafanyika kwenye mapori ya mkoa WA pwani?au hauna taarifa hiyo?
Hata picha moja hakuna?Licha ya huu mkoa kupakana na jiji la Dar es salaam ambalo ndo jiji kubwa Tanzania na Africa Mashariki Kwa ujumla, lakini mkoa wa Pwani unatishia, Mkoa wa Pwani una Mapori mazito yamefunga Giza na ya kuogopesha sana.
Me natokea Kanda ya ziwa, mkoa wa Kagera tuna vijiji na Mapori ila Kwa mkoa wa Pwani usipime
Ukitoka Dar hapo ukaingia Mkuranga tu Kuna vijiji kama unaenda Kisiju hadi huko visiwani Kwale na kama ni hatari ndugu zangu.
Ukisogea Kisarawe, Kibiti, na Rufiji huko ndo hatari zaidi. Kuna siku nilikuwa naenda kwenye Bwawa la umeme huko Rufiji panaogopesha mno. Bado Mapori ya Bagamoyo hadi msata huko ni hatari tupu.
Nashauri serikali ihamishie Kambi za jeshi za Dar huko kama za Lugalo n.k huko usalama wa jiji la Dar na taifa Kwa ujumla, maana wahalifu ni rahisi kujificha humo.
HahahaTAYARI campaign imeanza, very soon utasikia wamepewa Waarabu
Enviromenmental conservation.......wanataka tukae na majangwa tu.Ni vizuri mapori yaendelee kuwepo, tukipata vijisenti, tutapata cha kufanya huko! 😄
Nimefika Mkuranga, rufiji, kibiti, bagamoyo na Chalinze sijaona hayo mapori yanayosemwa.Ukienda mkange Chalinze kuna Zaraninge Forest
Ndio ndio ni balaa sanaHuwa wanakukimbiza?
Mimi nisingeishi hukoo huyo mdudu namuogopaNdio ndio ni balaa sana
Hizo Kambi za jeshi sikujua kama zipo.Nafikiri kama ni Kambi za Jeshi zipo, ama ulikuwa unataka ziongezwe?
1. Kisarawe kuna kambi 2 za jeshi
2. Kibiti kuna kambi moja ya jeshi (Mpakani mwa Kibiti na Rufiji)
3. Rufiji kuna kambi 1. (Nafikiri imeanzishwa hivi karibuni.
Hapa utatuzi ni kuendelea kuongeza usalama tu wa maeneo husika lakini sio kuyaondoa, ingawa yanaendelea kuvamiwa kwa kasi.
Tutabaki jangwani.
Ushaanza sasa eeeeeh tuambia basi sehemu inayotisha zaidiNdugu yangu Hapo hapatishi, Hujatembea wewe
Kila Mwamba ngoma huvutia kwake siku zote 😁😁😁Ushaanza sasa eeeeeh tuambia basi sehemu inayotisha zaidi
Mkuu yaani pamoja na Ujanja wako wote hujui kuwa katika hayo Mapori yote Wazee wa Kazi wa Mkunda wapo wengi?Licha ya huu mkoa kupakana na jiji la Dar es salaam ambalo ndo jiji kubwa Tanzania na Africa Mashariki Kwa ujumla, lakini mkoa wa Pwani unatishia, Mkoa wa Pwani una Mapori mazito yamefunga Giza na ya kuogopesha sana.
Me natokea Kanda ya ziwa, mkoa wa Kagera tuna vijiji na Mapori ila Kwa mkoa wa Pwani usipime
Ukitoka Dar hapo ukaingia Mkuranga tu Kuna vijiji kama unaenda Kisiju hadi huko visiwani Kwale na kama ni hatari ndugu zangu.
Ukisogea Kisarawe, Kibiti, na Rufiji huko ndo hatari zaidi. Kuna siku nilikuwa naenda kwenye Bwawa la umeme huko Rufiji panaogopesha mno. Bado Mapori ya Bagamoyo hadi msata huko ni hatari tupu.
Nashauri serikali ihamishie Kambi za jeshi za Dar huko kama za Lugalo n.k huko usalama wa jiji la Dar na taifa Kwa ujumla, maana wahalifu ni rahisi kujificha humo.
Muelekeze vizuri , Nahisi bado hajaelewa ..Mkuu yaani pamoja na Ujanja wako wote hujui kuwa katika hayo Mapori yote Wazee wa Kazi wa Mkunda wapo wengi?