Mkoa wa Pwani una vijiji na Mapori ya kutisha sana

Licha ya huu mkoa kupakana na jiji la Dar es salaam ambalo ndo jiji kubwa Tanzania na Africa Mashariki Kwa ujumla, lakini mkoa wa Pwani unatishia, Mkoa wa Pwani una Mapori mazito yamefunga Giza na ya kuogopesha sana.

Me natokea Kanda ya ziwa, mkoa wa Kagera tuna vijiji na Mapori ila Kwa mkoa wa Pwani usipime
Ukitoka Dar hapo ukaingia Mkuranga tu Kuna vijiji kama unaenda Kisiju hadi huko visiwani Kwale na kama ni hatari ndugu zangu.

Ukisogea Kisarawe, Kibiti, na Rufiji huko ndo hatari zaidi. Kuna siku nilikuwa naenda kwenye Bwawa la umeme huko Rufiji panaogopesha mno. Bado Mapori ya Bagamoyo hadi msata huko ni hatari tupu.

Nashauri serikali ihamishie Kambi za jeshi za Dar huko kama za Lugalo n.k huko usalama wa jiji la Dar na taifa Kwa ujumla, maana wahalifu ni rahisi kujificha humo.
Mkuu kwani sisi tunaokaa kambini tumekukosea nini?
Hayo mapori yanayotisha ndio unataka tukaishi huko, pisi kali tutazipataje sasa?
Yaani wewe kupita tu umeogopa je sisi unaotaka tukaishi huko hatuogopi mapori?
 
Yaah , Mjifunze mazingira rafiki kwa vita .
 
Licha ya huu mkoa kupakana na jiji la Dar es salaam ambalo ndo jiji kubwa Tanzania na Africa Mashariki Kwa ujumla, lakini mkoa wa Pwani unatishia, Mkoa wa Pwani una Mapori mazito yamefunga Giza na ya kuogopesha sana.

Me natokea Kanda ya ziwa, mkoa wa Kagera tuna vijiji na Mapori ila Kwa mkoa wa Pwani usipime
Ukitoka Dar hapo ukaingia Mkuranga tu Kuna vijiji kama unaenda Kisiju hadi huko visiwani Kwale na kama ni hatari ndugu zangu.

Ukisogea Kisarawe, Kibiti, na Rufiji huko ndo hatari zaidi. Kuna siku nilikuwa naenda kwenye Bwawa la umeme huko Rufiji panaogopesha mno. Bado Mapori ya Bagamoyo hadi msata huko ni hatari tupu.

Nashauri serikali ihamishie Kambi za jeshi za Dar huko kama za Lugalo n.k huko usalama wa jiji la Dar na taifa Kwa ujumla, maana wahalifu ni rahisi kujificha humo.
Ni kweli hata selou game reserve ipo huko.
 
hayo mapori yote yana WAJEDA man, bila ivo 2ngekuwa kama NIGERIA na BOKO HARAM yao,,,,,2lijisahau kidogo pale KIBITI, kilichotokea 2nakumbuka!!!
 
Unatakiwa uwapingeze wakazi wa pwani kwa kutunza mazingira,kanda ya ziwa hamna ustaarabu,mmekata miti yote kwa kuchoma mkaa na kilimo,punguzeni kuzaa na kufunga mifugo uliyowazidi malisho,

Hakuna nchi yenye mapori kama USA na Canada
Ni kweli America wana ule msitu wao Tongass National Forest na ule wa Canada pia ni mkubwa sana kwa eneo. Ila tofauti na hii ya kwetu hiyo misitu haijashonana kiasi ukiingia ndani unaona giza. Hii ya kwetu ni misitu ya Ki- tropical sawa na ile ya South America akina Amazon nk.
 
Suala la kuanzisha kambi mpya si suala Baya, ila linahitaji rasilimali pia.
Nadhani tuna changamoto kubwa kwenye. Huduma za kijamii km elimu afya ,malipo ya wastaafu ,Ajira mpya nk. Kuliko hizo kambi.
Kuna wakati mabomu yalilipuka,majibu tulipewa kuwa kambi ziko kiutaratibu kutokana na formation tunatotumia ya kiulizi.

Mkoa WA pwani Una mapori na misitu la hayajazidi kanda za magaharibu au nyanda za juu kusini ukilinganisha Kwa hekta.
Na kuangalia kiwilaya bado wilaya za mkoa wa pwani zinapitwa na wilaya. Za mkoa mingine. Kwa maan
a ya hekta za misitu na mapori rasmi.

Kambi mpya zingekuwa zinafunguliwa dar ,tungesema si vema.
Hata hivyo wakati kambi zinajengwa palikiwa porini .
Mfano ,kisarawe ,kibaha ,kihangaiko ni maeneo ambayo bado Yana kambi za jeshi kubwa. Na yapo mkoa WA pwani hayupo dar

Kambi km gongolamboto na mbadala wakati zinaanzishwa zilikua polini katikati ya msitu mnene wenye wanyama wakali. Na wananchi ndio walizisogelea kambi ila sio kambi kuwafuata wananchi. Hii ilisababishwa na Sababu mbali mbali ikiwemo kujiakikishia usalama. Dhidi ya majambazi. Pia wastaafu WA majeshi

kujenga karibu na kambi ila walipofariki au kuhama wakauzia raia waliotamani kuishi karibu na kambi

Na Kwa mazozezi mengi ya kijeshi Kwa kambi za karibu mbona yanafanyika kwenye mapori ya mkoa WA pwani?au hauna taarifa hiyo?
Umeongea vyema kama Waziri wa ulinzi vile. Shukran sana
 
Tujikumbushe tukio Yale mauaji ya Kibiti 2017 yalitishia Amani yetu
Mapori ya Iringa na Pwani ni tofauti maana Pwani ni karibu na mji mkuu wa Tanzania
Kuna population karibu million 7
Hilo ni Sawa kufanya rejea .
Kitu cha msingi ni kusisitiza mafungu ya mafunzo endelevu Kwa majeshi yetu kwenye Nyanja tofauti tofauti hasa kwenye maghala ya zana zao na kuwahi viashiria vya ajali za majanga km hizo zinapotokea ila ,hata huko pwani 2070 patakua mjini.
Kwa Kua hata bomu linaweza kuwa pwani na Lina range kubwa likapiga posta au kariakoo. Baada ya kulipuka.
Pia mafunzo ya mazozezi ya mara Kwa mara kwenye maeneo ya porini. Zaidi.
Kuhamisha kambi halafu kuitekeleza porini haina manufaa.

Askari ni assets na pia ni binadam ana mahitaji muhimu na ya kimsingi km aasett zingine na km binadam mwingine
 
Back
Top Bottom