Mkoa wa Pwani una vijiji na Mapori ya kutisha sana

Mkuu kwani sisi tunaokaa kambini tumekukosea nini?
Hayo mapori yanayotisha ndio unataka tukaishi huko, pisi kali tutazipataje sasa?
Yaani wewe kupita tu umeogopa je sisi unaotaka tukaishi huko hatuogopi mapori?
 
Mkuu kwani sisi tunaokaa kambini tumekukosea nini?
Hayo mapori yanayotisha ndio unataka tukaishi huko, pisi kali tutazipataje sasa?
Yaani wewe kupita tu umeogopa je sisi unaotaka tukaishi huko hatuogopi mapori?
Yaah , Mjifunze mazingira rafiki kwa vita .
 
Ni kweli hata selou game reserve ipo huko.
 
hayo mapori yote yana WAJEDA man, bila ivo 2ngekuwa kama NIGERIA na BOKO HARAM yao,,,,,2lijisahau kidogo pale KIBITI, kilichotokea 2nakumbuka!!!
 
Unatakiwa uwapingeze wakazi wa pwani kwa kutunza mazingira,kanda ya ziwa hamna ustaarabu,mmekata miti yote kwa kuchoma mkaa na kilimo,punguzeni kuzaa na kufunga mifugo uliyowazidi malisho,

Hakuna nchi yenye mapori kama USA na Canada
Ni kweli America wana ule msitu wao Tongass National Forest na ule wa Canada pia ni mkubwa sana kwa eneo. Ila tofauti na hii ya kwetu hiyo misitu haijashonana kiasi ukiingia ndani unaona giza. Hii ya kwetu ni misitu ya Ki- tropical sawa na ile ya South America akina Amazon nk.
 
Umeongea vyema kama Waziri wa ulinzi vile. Shukran sana
 
Tujikumbushe tukio Yale mauaji ya Kibiti 2017 yalitishia Amani yetu
Mapori ya Iringa na Pwani ni tofauti maana Pwani ni karibu na mji mkuu wa Tanzania
Kuna population karibu million 7
Hilo ni Sawa kufanya rejea .
Kitu cha msingi ni kusisitiza mafungu ya mafunzo endelevu Kwa majeshi yetu kwenye Nyanja tofauti tofauti hasa kwenye maghala ya zana zao na kuwahi viashiria vya ajali za majanga km hizo zinapotokea ila ,hata huko pwani 2070 patakua mjini.
Kwa Kua hata bomu linaweza kuwa pwani na Lina range kubwa likapiga posta au kariakoo. Baada ya kulipuka.
Pia mafunzo ya mazozezi ya mara Kwa mara kwenye maeneo ya porini. Zaidi.
Kuhamisha kambi halafu kuitekeleza porini haina manufaa.

Askari ni assets na pia ni binadam ana mahitaji muhimu na ya kimsingi km aasett zingine na km binadam mwingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…